Rafiki yangu ni mnafiki sana

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kuna demu ambaye tulikuwa Tunapendana naye saana na kwa bahati nzuri na mbaya nilimpiga binti huyo baada ya mimi kumpa mimba binti huyo sikuwa na chaguo lingine zaidi ya kupanga mipango ya kumuoa binti huyo kwa bahati mbaya mimba ile iliaribika.

Kuaribika kwa mimba hiyo kuliniingiza katika matatizo makubwa upande wa kwao na huyo binti wazazi wake walidai kuwa mimi ndo nilimuwekea madawa mtoto wao mpaka mimba yake ikatoka. Nilijaribu kujijitetea lakini ilishindikana mpaka familia yangu walingilia kati mambo yakaisha kifamilia, tulilipa pesa na vitu mbali mbali. Tukawa tumeachana na mwanadada huyo.

Baada ya muda leo nimekuja kupewa habari na watu kuwa rafiki yangu wa damu kabisa ndo anataka kumuoa mwanadada huyo. Akili yangu ndo inajiuliza maswali mengi inawezekana jamaa huyo ndo alimuwekea huyu binti dawa katika chakula au vipi? Maana demu alikuwa anafika home anapika chakula kama sipo ananiachia kama nipo tunakula wote.

Au walikuwa wanapendana before?

Nilivyopata hayo matatizo huyu bwana alinikimbia kwa kisingizio eti tunaweza kufungwa wote kwa hiyo akaamua kutafuta nyumba yake tulikuwa tunalala wote kipindi cha nyuma hapo.

Na baada ya kuhama kwake ule urafiki wake na mimi ulipungua ghafla.

Hii ni plan au vipi, maana sielewi!
 
Kuna demu ambaye tulikuwa Tunapendana naye saana na kwa bahati nzuri na mbaya nilimpiga binti huyo baada ya mimi kumpa mimba binti huyo sikuwa na chaguo lingine zaidi ya kupanga mipango ya kumuoa binti huyo kwa bahati mbaya mimba ile iliaribika . kuaribika kwa mimba hiyo kuliniingiza katika matatizo makubwa upande wa kwao na huyo binti wazazi wake walidai kuwa mimi ndo nilimuwekea madawa mtoto wao mpaka mimba yake ikatoka Nilijaribu kujijitetea lakini ilishindikana mpaka familia yangu walingilia kati mambo ya kaisha kifamilia tulilipa pesa na vitu mbali mbali
Tukawa tumeachana na mwanadada huyo
Baada ya mda leo nimekuja kupewa habari na watu kuwa rafiki yangu wa damu kabisa ndo anataka kumuoa mwanadada huyo

Akili yangu ndo inajiuliza maswali mengi inawezekana jamaa huyo ndo alimuwekea huyu binti dawa katika chakula au vipi
Maana demu alikuwa anafika home anapika chakula kama sipo ananiachia kama nipo tunakula wote

Au walikuwa wanapendana before

Nilivyo pata hayo matatizo huyu bwana alinikimbia kwa kisingizio eti tunaweza kufungwa wote kwa hiyo akaamua kutafuta nyumba yake tulikuwa tuna lala wote kipindi cha nyuma hapo

Na baada ya kuama kwake ule urafiki wake na mimi ulipungua ghafla

Hii ni plan vipi maana sielewi!
Msela mnyaaaa!
 
Alikuwa anamlia rada demu wako
Kitambo

Huwa inatokea

Ila usijali, ameoa mke wa mtu
 
Watu weusi tuna roho za kichawi Sana
Unaonekana huyo binti hukuwa na mpango naye na humheshim ndio maana unamtambulisha kwetu kuwa ni "dem"
Tamaa yako ilikuwa ni kuona huyo binti anakunyenyekea na kukulilia uendelee nae Ila Kwa kuwa yote yameshindikana na hatesek imebaki unaumia.

Nakushaur ujiue Tu.
 
Acha tu, mmoja alinunua kitambaa cha suruali na kutoa zawadi ili washone suruali zinazofanana. Kumbe kile kitambaa keshakifanyia mambo kwa kalumanzila. Nia yake ni kucheza na nyota ya huyo rafiki yake. Jamaa alipogundua urafiki uliisha.
 
Watu weusi tuna roho za kichawi Sana
Unaonekana huyo binti hukuwa na mpango naye na humheshim ndio maana unamtambulisha kwetu kuwa ni "dem"
Tamaa yako ilikuwa ni kuona huyo binti anakunyenyekea na kukulilia uendelee nae Ila Kwa kuwa yote yameshindikana na hatesek imebaki unaumia.

Nakushaur ujiue Tu.
Yaani ww ndio umeandika point.
Kwa maelezo yke tu inaonyesha alikuwa hampendi huyo binti,na rafiki yke ndie alikuwa na malengo na huyo binti na kinacho muumiza mleta mada ni wivu na hasira,hakutegemea Kama huyo binti atapata was kumpenda,kumuheshimu na kumuowa.
 
Back
Top Bottom