Mlimani health center
JF-Expert Member
- Nov 25, 2021
- 600
- 1,527
SIFA ZA MKE WA KUOA NI "HESHIMA NA UTI"Habari za jioni waungwana
Nilikuaga na mahusiano na dada mmoja wayback tukiwa tunasoma baada ya muda tukapoteana ila nilivyofika chuo nikakutana nae ila baada ...
[emoji848][emoji848]mwanajeshi awe mkeo mhhh hiv hata utaweza kuchepuka kwelni nini hasa kinachokupa mashaka??
Samia ana mume?Mapenzi na Rais.
Mapenzi na mama lishe...
ni lazima uchepuke mkuu??[emoji848][emoji848]mwanajeshi awe mkeo mhhh hiv hata utaweza kuchepuka kwel
Chakula hicho hicho miaka 10 utaweza kula ww?ni lazima uchepuke mkuu??
Kumbe unawaza ujinga.? Subiri ukikuwa ndo uowe maana inaonekana bado mtoto.[emoji848][emoji848]mwanajeshi awe mkeo mhhh hiv hata utaweza kuchepuka kwel
Atleast hata wewe umeongea kituYou never wonder why solders marry within themselves??!
Watu wazima ndio huongoza kucheat tena ukute hata mkeo anakucheat na hujuiKumbe unawaza ujinga.? Subiri ukikuwa ndo uowe maana inaonekana bado mtoto.
Duuh!!ndugu yangu wewe ni wa kijijini sasa mwanajeshi si ni binadamu tu unachoogopa hivyo ni nini.[emoji848][emoji848]mwanajeshi awe mkeo mhhh hiv hata utaweza kuchepuka kwel
chepuka tu ila ujue kesi yako itakua tofauti na wanaume wengine 😂Chakula hicho hicho miaka 10 utaweza kula ww?
Hilo sina shaka nalo boss hata huku kitaa madem wanalika sana .kupata wa peke yako n ngumuJeshini mademu ni kipoozeo cha mamen wao vita wanaisikia kwenye simu
Shtukaaa