Mwaka 2018 Mimi na aliyekuwa mke Wangu tuliachana na kwa bahati mbaya mwenzangu akaolewa na mwanaume mwingine baada ya kuachana kwetu.
Mimi nikaendelea na maisha yangu
Lakini cha ajabu uyo mke...
Njia nzima tunawasiliana, najua anaenda kwa ndugu, meseji yake ya mwisho ni kua amefika, baada ya hapo hapokei simu. ni nini kitakua kinaendelea ndugu zangu?
Nimejiridhisha na hata aliempokea ni...
Huyu binti ni shemeji yangu.
Anaomba pesa mara kwa mara, nilimsaidia kulipia kodi awamu mbili na kampani zingine ndogondogo. Sasa nilipoona anazidi kunipiga virungu nikamwomba nyapu akakataa...
Kuna habari nimeisoma kutoka kwa Labani og inayomuhusu Elon Musk kuzindua maroboti ya kike/mbadala wa mwanamke na unaweza kuishi nalo geto/nyumbani Kama mkeo.
NALIA NGWENA nimetafakali mno...
Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake wa miaka mitatu, lakini walipoachana, hakumtoa nje ya nyumba yake, aliogopa kwamba angeishi maisha ya chini, hivyo alimuachia nyumba yao na yeye...
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake. Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano...
Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa. Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi, unafanya hivi na vile lakini...
Za siku mingi bandugu.
Nimeandika uzi huu lengo niwasalimu tu na nijue wangapi walio active.. na ukurasa wetu huu pendwa wenye forums mbalimbali.
Nawasalimu wote.
Maisha yaendelee, usiache...
Kuamini kuwa na mwanamke anavutiwa sana na mwonekano tu
Kwa sisi wanaume tunavutiwa na mvuto zaidi, lakini mwanamke anavutiwa nawe kutokana na vile anavyojisikia akiwa nawe. Akijisikia amani...
Habari wakuu,
Ninayo furaha ya pekee sana jioni ya leo baada ya kutunukiwa mwili na binti mrembo niliyemtafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio, sana sana niliambulia matusi mpaka nikawa...
Am going breafly!
Mba wananisumbua baada ya kunyoa ndevu, ni mba wa ngozi, hawajakithiri ila ni ule weupe weupe tu.
Naomba kufahamishwa dawa nzuri pamoja na dawa za kuoshea nywele au kupaka...
Mwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba.
Mwanaume huyo alikuwa amekwenda ukweni kwake...
Hatimaye nimepata mwanamke wa kipekee ambaye nina imani hatoweza kuisumbua akili yangu maishani mwangu kote. Hata nikimshirikisha suala la kuoa mke wa pili, wa tatu, wa nne, wa tano n.k kutoka...
Wakuu naombeni uzoefu ukitaka kwenda ukweni (kwa mwanamke)kwa mara ya kwanza unatakiwa ufanye nini au uzingatie vitu gani
Nasoma maoni [emoji4][emoji4]
Sikuhizi sina maneno mengi, mdada anayenifurahisha namhonga. Bei hutofautiana kutegemeana na sampuli.
Ma great thinker wasio na hela mje hapa kutoa povu, ila mkae mkijua kama hamwahongi wapenzi...
Hata wakiuza milioni 20 nitauza mbaka boksa ninunue nikafunge nae ndoa
Maana sio kwa hekaheka za mademu wa udongo thanks elon musk Mungu akuweke
Haina kisonono wala kaswende no kugongwewa...
Kila mtu anatamani kuona dunia ikiendelea, ikisonga kutoka hapa ilipo. Mabadiliko ama maendeleo ya dunia huja na maumivu makubwa sana, maendeleo hayaji burebure tu, ni lazima uumie.
Unataka...
Habari wakuu
Ni miaka minne tangu nilipoamua kumuoa mwanamke nimpendaye katika dunia hii na tunaenda kwa mengi
Tatizo ninalokutana nalo kwa sasa ni mke wangu huyu kuwa kibonge haswa na mbaya...
Huyu demu nimekuwa nikimfatilia saana. Nimemuona ni mwanamke mzuri saana ambaye ana Akili saana Tena anafaa kuwa mke kabisa.
Ila wanaempoteza zaidi ni aina ya wanaume ambao anawapata na mazingira...
Sijui kwa wanaume wengine wanavutiwa na nini hasa kwa mwanamke wakati wa mahaba na penzi zito
Utamu/raha ya mapenz ni hisia. Ukizikosa hisia mapenz yanakua kama uchafu kwako.
Binadamu...