hassanjrtz
Member
- Apr 10, 2023
- 30
- 21
Wakuu naombeni uzoefu ukitaka kwenda ukweni (kwa mwanamke)kwa mara ya kwanza unatakiwa ufanye nini au uzingatie vitu gani
Nasoma maoni [emoji4][emoji4]
Nasoma maoni [emoji4][emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utaniponza mkuuVaa t-shirt ya CRDB
Yote ni machaguo tu dunia huru hii [emoji2223][emoji2223]Watu wanawaza kwenda kununua maroboti ya elon musk we unawaza kwenda ukweni
Alisikika MLEVi MmojaWatu wanawaza kwenda kununua maroboti ya elon musk we unawaza kwenda ukweni
[emoji852][emoji852][emoji852]Vaa ndala za rangi tofauti na tishirt ya chama
Au ya tiharahei 😄Vaa t-shirt ya CRDB