Style ngumu kumfikisha mwanamke kileleni

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
3,994
5,437
Salaam,

Leo nimeona niwasaidie vijana hasa wenye ndoa sio wahuni.

Pamekua na changamoto za kumfikisha mwananmke kileleni hasa kwa wanandoa na kusababisha wanawake wengi (waliokosa maadili) kutoka nje ya ndoa. Hivyo basi kutokana na uzoefu wangu na umri wangu huu wa uzee wa makamo nimeona niwasaidie vijana wangu ili huu mkwamo wa mabinti kuolewa na wazee uwaepuke.

Vijana wengi wamegeuza tendo la ndoa kuwa ni vita yaani yale ya kwenye mikanda ya ngono ndio wanadhani ni mapenzi kumbe ni sanaa tuu ya kufurahisha macho.

Vijana style zenu za mbuzi kagoma sijui chuma mboga, mbinuko chotea kwa chini, miguu begani, akukalie kwa juu n.k hizi zoote nikujifurahisha nafsi tuu (mume) ila kwa mwanamke ni ngumu saana kufika kileleni akiwa katika mitindo hiyo zaidi ya kupata maumivu tuu (wachache wana enjoy)

Kilele chenye ubaridi na msisimko wa kimataifa na kusimika mwenge wa uhuru kilimanjaro ni style moja tuuu style inayounganisha viungo pea kwa pae yaani kifua kwa kifua tumbo kwa tumbo, uso kwa uso mikono kiunoni mikono begani mpapaso musharabu ukipeleka speed na kupunguza kuitoa na kuiweka taratibu kama unaingiza uzi kwenye tundu la sindano hakika wajukuu zangu wanawake hawato waacha na wazee hatutowazidi kite tena. (kifo cha mende)

Zingatia: Pesa ndio kilele cha mwanamke kwa mwanaume, ukiwa nazo atafika tuu.

msinitafute PM.
 
salaam,

leo nimeona niwasaidie vijana hasa wenye ndoa sio wahuni.

pamekua na changamoto za kumfikisha mwananmke kileleni hasa kwa wanandoa na kusababisha wanawake wengi (waliokosa maadili) kutoka nje ya ndoa. hivo basi kutokana na uzoefu wangu na umri wangu huu wa uzee wa makamo nimeona niwasaidie vijana wangu ili huu mkwamo wa mabinti kuolewa na wazee uwaepuke.

vijana wengi wamegeuza tendo la ndoa kua ni vita yaani yale ya kwenye mikanda ya ngono ndio wanadhani ni mapenzi kumbe ni sanaa tuu ya kufurahisha macho.

vijana style zenu za mbuzi kagoma sijui chuma mboga, mbinuko chotea kwa chini, miguu begani, akukalie kwa juu n.k hizi zoote nikujifurahisha nafsi tuu (mume) ila kwa mwanamke ni ngumu saana kufika kileleni akiwa katika mitindo hiyo zaidi ya kupata maumivu tuu (wachache wana enjoy)

kilele chenye ubaridi na msisimko wa kimataifa na kusimika mwenge wa uhuru kilimanjaro ni style moja tuuu style inayounganisha viungo pea kwa pae yaani kifua kwa kifua tumbo kwa tumbo, uso kwa uso mikono kiunoni mikono begani mpapaso musharabu ukipeleka speed na kupunguza kuitoa na kuiweka taratibu kama unaingiza uzi kwenye tundu la sindano hakika wajukuu zangu wanawake hawato waacha na wazee hatutowazidi kite tena. (kifo cha mende)

zingatia: pesa ndio kilele cha mwanamke kwa mwanaume, ukiwanazo atafika tuu.

msinitafute PM.
Wewe nikijana tena damu ya moto Toka kudanganya hapa alaaaaaaah

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Utakuta mtu anakubinua binua kama nini jamani, na hujakosea kuangalia yale mavideo yao na kuiga iga style za ajab ajabu watu wanaona dili, mko kitandani utadhani mnapigana jamani
waambie mnavyotaka ni haki yenu.... mi nimeyajua hayo kwakuwasikiliza nini mnataka na ndio maana kama kungekua na tuzo ya mwanaume shababi wa mapenzi basi ningeipata...:):)
 
salaam,

leo nimeona niwasaidie vijana hasa wenye ndoa sio wahuni.

pamekua na changamoto za kumfikisha mwananmke kileleni hasa kwa wanandoa na kusababisha wanawake wengi (waliokosa maadili) kutoka nje ya ndoa. hivo basi kutokana na uzoefu wangu na umri wangu huu wa uzee wa makamo nimeona niwasaidie vijana wangu ili huu mkwamo wa mabinti kuolewa na wazee uwaepuke.

vijana wengi wamegeuza tendo la ndoa kua ni vita yaani yale ya kwenye mikanda ya ngono ndio wanadhani ni mapenzi kumbe ni sanaa tuu ya kufurahisha macho.

vijana style zenu za mbuzi kagoma sijui chuma mboga, mbinuko chotea kwa chini, miguu begani, akukalie kwa juu n.k hizi zoote nikujifurahisha nafsi tuu (mume) ila kwa mwanamke ni ngumu saana kufika kileleni akiwa katika mitindo hiyo zaidi ya kupata maumivu tuu (wachache wana enjoy)

kilele chenye ubaridi na msisimko wa kimataifa na kusimika mwenge wa uhuru kilimanjaro ni style moja tuuu style inayounganisha viungo pea kwa pae yaani kifua kwa kifua tumbo kwa tumbo, uso kwa uso mikono kiunoni mikono begani mpapaso musharabu ukipeleka speed na kupunguza kuitoa na kuiweka taratibu kama unaingiza uzi kwenye tundu la sindano hakika wajukuu zangu wanawake hawato waacha na wazee hatutowazidi kite tena. (kifo cha mende)

zingatia: pesa ndio kilele cha mwanamke kwa mwanaume, ukiwanazo atafika tuu.

msinitafute PM.

IMG_4180.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom