Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu humu, hopefully mko salama. Jamani niende kwenye point nina Kaka yangu ambaye alipata mtihani kidogo wa afya ya akili alipokuwa mafunzoni Jeshini ambayo imempelekea kutokua sawa, kuna...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Mwanamume mmoja ambaye ni mume wa wanawake wengi amewachamba wanaume ambao wameoa mke mmoja tu. Kaluhana mwenye umri wa miaka 63 anasema wanaume wenye mke mmoja wana akili ndogo sana na hawezi...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Kiufupi ni mwanamke niliempenda Sana. Niliingia gharama kadhaa kama vile saloon, kusomesha wanae, chakula na mahitaji kadhaa ya mavazi na Yale mengine ambayo huwez ukayazingatia kama mwenye jukumu...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kitu gani niongeze hapo au ndo hayawahusu, Via BANDARI YA TANGANYIKA Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
2 Reactions
5 Replies
868 Views
Habarini wana JF, Mimi natafuta mume wa kuishi naye; ~ Mimi nina miaka 30 ~ Mnyamwezi ~ Nina elimu ya shahada katika sayansi ya jamii Natafuta mme mwenye vigezo vifuauatavyo; 1. Awe na miaka 38...
19 Reactions
140 Replies
8K Views
Sikutaka kusimulia kisa hiki lakini nimepatwa msukumo baada ya jamaa yangu kupatwa na jambo lake la kustaajibisha huko Magu. Miaka ya nyuma nilikuwa nikifanya biashara ya kuuza kemikali za...
27 Reactions
94 Replies
9K Views
Mlianza kwa kupeana majina kama honey, darling, sweetheart, babe, honey bunny, sweetie, bear, poppy, cutie, sunshine, then mkaenda sugar... Kwa sasa mko wapi?
15 Reactions
127 Replies
6K Views
  • Closed
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu...
0 Reactions
110 Replies
10K Views
NJIA 10 ZA KUMTAMBUA MWANAMKE ASIYEFAA. 1. Ikiwa mwanamke anapenda kuvaa nguo zinazofunua na kuonyesha viungo vyake vya siri mitaani, katika mazingira ya familia au mkusanyiko wa umma, HUYO...
8 Reactions
23 Replies
4K Views
1. Kujisahau. Utoto mwingi hukuwi kabisa, Bado una hasira kama ulivyofanya miaka iliyopita ulipokuwa single. Bado huwezi kujisahihisha makosa . Bado unakuwa na mahusiano ya nje ya ndoa...
15 Reactions
42 Replies
3K Views
1-hata kama hujui mapenzi yeye HAJUI KWAMBA HUJUI..ukipanda kama kuku sawa ukicheua dakika 6 sawa ...hana comparison wala reference...ILA UOE GUBE GUBE looh...Ukishuka tu anampigia Ex Wake simu...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Siongei mengi... vijana acheni kutoa toa hovyo shahawa. Acheni ngono hovyo hovyo wala kupiga punyeto hovyo hovyo. Tunzeni shahawa! Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
10 Reactions
49 Replies
4K Views
Nikiwa advance, nilikua na mahusiano na dada wa form 4, nikiri alinipenda, ila mimi sikuchukulia serious mahusiano haya, na mwisho wa siku nilimwambia tuachane kwa sababu ambazo hazikua na msingi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimemtongoza kanikataa kisa eti niliwahi kutoka na mrembo fulani hv ambaye bdae walikuja kuwa marafiki(baada ya kuachana nae). Sasa hapo kuna uhusiano gani jamani? Mbona anitesa huyu mtoto wa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Shukuru umeiona tena hii weekend. Shukuru safari zako za wiki zilikua salama. Shukuru kwa ulichojaaliwa kupata kwa wiki, hata kama ni kidogo. Shukuru kwa kuwa upo salama sasa, japo sjui unasoma...
1 Reactions
0 Replies
835 Views
Mostly Ndoa nyingi ni mateso, wengi wanajuta tu. Kiu ya kugawa moyo wangu imepotea kabisa, nisije tobolewa tu bure 🥲
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Waungwana natumai muwazima, wengi wenu naamin mmelala mida hii mwenzenu nimekosa usingizi kabisa, Ninakoishi tuko wapangaji watatu nyumba ziko tatu ndani ya uzio mmoja, Tuko mabachela wote mimi...
17 Reactions
539 Replies
43K Views
Habari wadau? Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ndivyo ilivyo hivyo kama mjuavyo mimi sijaoa na wala sina mchumba, ila nina mpenzi. Sasa mpenzi wangu huyu mpya ananishangaza sana, tukiwa...
4 Reactions
294 Replies
82K Views
Wadau ipo hivi. Nina jamaa yangu nafanya nae kazi. Mke wake ni mwalimu sasa mwanafunzi wa chuo kimoja hivi kikubwa hapa nchini Kabla ya kwenda chuo mahusiano yao yalikiwa yamekaa vizuri kabisa...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…