Mambo manne unayopuuza ambayo yanaweza kuua ndoa yako.

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,514
21,995
1. Kujisahau.
Utoto mwingi hukuwi kabisa,
Bado una hasira kama ulivyofanya miaka iliyopita ulipokuwa single.
Bado huwezi kujisahihisha makosa . Bado unakuwa na mahusiano ya nje ya ndoa.

Kumbuka " Ili Ndoa iimarike inahitaji ukuaji wa kibinafsi wa mume /mke".

2. Kutomjali Mwenza wako.
Huna muda wa kutulia na mpenzi wako.
Humpongezi mpenzi wako kwa lolote. Kumtelekeza mpenzi wako kingono.

Kumbuka "Upendo huenda sambamba na kutunza/kujali mahitaji ya mpenzi wako".

3. Kupuuza Majukumu Yako.
Hutaki kufanya kazi.
Matumaini ya kula yako ni kutoka kwa jasho la mpenzi wako tu ilihali we kutwa nzima unavinjari kwenye mitandao ya kijamii tu kusaka umbea.

Kumbuka "Ndoa ni ushirikiano wa watu wawili(me /ke) walioamua kuungana na kuwa mwili mmoja ambapo mizigo ya maisha wanashirikishana na kuibeba pamoja".

4. Kutomjali Mungu.
Mwanzilishi wa Ndoa ni Mungu - ndoa sio uvumbuzi wa mwanadamu. Ukimweka Mungu nje ya ndoa yako, adui atashambulia ndoa yako na kuisambaratisha kabisa.

Kumbuka "Mungu ndiye gundi inayowaunganisha wanandoa. Kwa maana Mungu ni Upendo".

Jitafakari.

Ubarikiwe.
 
Sahihi.
 
Mungu akubariki sana kwa kutukumbusha haya! Points zote ni muhimu sana lakini hii namba nne nimeipenda sana hasa unaposema Mungu ndiye gundi inayowaunganisha wanandoa! Ahsante sana, tutazingatia hayo, Mungu akubariki, Mungu awabariki wanandoa!
 
1. Kujisahau.
Utoto mwingi hukuwi kabisa,
Bado una hasira kama ulivyofanya miaka iliyopita ulipokuwa single.
Bado huwezi kujisahihisha makosa . Bado unakuwa na mahusiano ya nje ya ndoa.

Kumbuka " Ili Ndoa iimarike inahitaji ukuaji wa kibinafsi wa mume /mke".

2. Kutomjali Mwenza wako.
Huna muda wa kutulia na mpenzi wako.
Humpongezi mpenzi wako kwa lolote. Kumtelekeza mpenzi wako kingono.

Kumbuka "Upendo huenda sambamba na kutunza/kujali mahitaji ya mpenzi wako".

3. Kupuuza Majukumu Yako.
Hutaki kufanya kazi.
Matumaini ya kula yako ni kutoka kwa jasho la mpenzi wako tu ilihali we kutwa nzima unavinjari kwenye mitandao ya kijamii tu kusaka umbea.

Kumbuka "Ndoa ni ushirikiano wa watu wawili(me /ke) walioamua kuungana na kuwa mwili mmoja ambapo mizigo ya maisha wanashirikishana na kuibeba pamoja".

4. Kutomjali Mungu.
Mwanzilishi wa Ndoa ni Mungu - ndoa sio uvumbuzi wa mwanadamu. Ukimweka Mungu nje ya ndoa yako, adui atashambulia ndoa yako na kuisambaratisha kabisa.

Kumbuka "Mungu ndiye gundi inayowaunganisha wanandoa. Kwa maana Mungu ni Upendo".

Jitafakari.

Ubarikiwe.
1. Kutokumpa mwanamke wako hela.
 
Ukweli mtupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom