Fungarakwaki
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,907
- 4,720
Nimemtongoza kanikataa kisa eti niliwahi kutoka na mrembo fulani hv ambaye bdae walikuja kuwa marafiki(baada ya kuachana nae). Sasa hapo kuna uhusiano gani jamani?
Mbona anitesa huyu mtoto wa Tanga?
Eti asema huyo rafik ake atajiskia vby. Dah!
Mbona anitesa huyu mtoto wa Tanga?
Eti asema huyo rafik ake atajiskia vby. Dah!