Kuponya vijana wa siku hizi .
Huu ni ukweli usiopingika.
Ewe kijana Kama demu wako, mpenzi wako, mchumba, mwanamke wako au mke wako hataki kuongozana na wewe barabarani achana nae kabisa haraka...
Mke ni kitu cha thamani sana sio kila mwanamke ana deserve kuwa mke wengine wabaki kuwa barmaid, stripper na sexworker. At the same time sio kila Mwanaume anapaswa kuwa mume wengine Wabaki kuwa...
Kulikuwa na wakati, katika mji mdogo wenye mandhari ya kuvutia, ambapo maisha yalikuwa yakipita taratibu. Katika mji X huo ndipo mimi sasa nilikuwepo kijana mwenye moyo wa upendo na ndoto za...
Hivi karibuni niliweka tangazo la kutafuta mchumba, hatimaye nimuoe huko mbeleni Mungu akipenda. Nikaeleza elimu yangu la saba na kazi nafanya za nguvu kwa nguvu yaani kumwaga zege na vibarua vya...
Kwa utafiti wangu nilioufanya in indirect way, umebaini dunia ya leo wanawake wengi hawafikishwi kileleni na waume/ wapenzi wao, ni more than 98.7% approx! Na zilizobakia ndiyo zile za wale...
Habari za mida wakuu,
Pasina kupoteza muda, hii ni changamoto kubwa wadada wengi wasiojielewa wakishavuliwa nguo na maboss wao huwa wanajisahau sana inafikia hatua wanajihisi ni maboss wasaidizi...
Ndo hivyo wakuu, naomba nisaidiwe hilo!. Najua kuna wataalamu na wazoefu wa kung'amua tabia humu.
Mtoto ni wa kike, still todler (2+ yrs).
Mtoto huyu halali kama hajanyonya kidole chake gumba cha...
Habari wana JF!
Mimi sio mgeni humu jukwaani ila nimekuja na ID mpya kwasababu ID yangu inafahamika na watu kadhaa.
Ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo.
UMRI: Miaka 18-26
ELIMU: Kuanzia kidato...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Huko nchini Uganda kimeuma sawasawa. Ndivyo unavyoweza kusema. Mashirika mbalimbali ya habari yakiwemo BBC na DW...
Habari wana JF,
Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja.
Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo:
Mwenye hofu ya Mungu
Anayejielewa na...
Mambo vipi wana Jf naona kumekucha na makucha yake acha niwape somo la asubuhi subuhi kabla hatujaenda msikitini
Kaka wakati mwingine hata ukiiweka ndani wewe endelea tu kumpapasa na kumtembezea...
Wanawake wako tofauti tofauti sifa, tabia, mwenendo wao pia ni tofauti kamwe hutoweza kumridhisha Mwanamke kwa chochote.
Nilikua na mpenzi wangu, during sex kwa muda mfupi sana alikua anamaliza...
Habarini Wadau,
Sikuhizi kumekuwa na tabia flani mbaya sana ya Wamama waliopo katika ndoa kuwakumbatia Watoto na kuwaeleza au kuwaonesha madhaifu ya Baba zao
Nina mifano mingi sana ya aina ya...
Upimaji wa vinasaba una matokeo ya ama mtoto ni wako au mtoto sio wako.
Hata ukithibitisha kuwa mtoto ni wako, ndoa yako itakuwa na makovu ya kudumu ya kutoaminiana. Mkeo atajua humwamini kabisa...
Niliwahi kuingia kwenye mtandao wa reddit, kuna hawa wazungu ambao wana magundu, madomo zenge, n.k yani huko kwao wanapata wakati mgumu sana kupata wapenzi.
Hii si kwa wanaume tu hata wanawake...
Salaam!
Imani yangu inaniambia Jf wengi wao ni watu mordenized ones......kwa heshima hii nawapa.
Sasa naomba wakaka wa kisasa tubuni namna ya kuomba namba kwa hawa wadada.
Hizi ni tabia za...
Mwanamke ambaye hamtakutana tena usipoongea naye kwa muda huo. Umemuona mwanamke na amekuvutia, sasa unajiuliza nini ukaongee naye ili muanze mazungumzo. Lengo lako lisiwe kupata namba. Lengo lako...
Utapata urahisi zaidi ukiwa wa thamani katika jumuiya uliyopo.
Jumuiya uliyopo inaweza kuwa ni kazini, shuleni, mtaani, kanisani au sehemu ambayo unakutana na mwanamke mara kwa mara.
Hakikisha...
Kutongoza sio kusifia tu au kujionesha kiasi gani unaweza kumtunza mwanamke.
Wengi huanza kuonesha kumjali mwanamke kwa pesa. Ubaya wake ni kwamba unamfundisha mwanamke ajali pesa yako tu. Na...