Wanawake wengi maofisini wakitembea na bosi wanajisahau kuhisi ni mabosi wasaidizi

Ndundame

Member
Jul 8, 2023
60
72
Habari za mida wakuu,

Pasina kupoteza muda, hii ni changamoto kubwa wadada wengi wasiojielewa wakishavuliwa nguo na maboss wao huwa wanajisahau sana inafikia hatua wanajihisi ni maboss wasaidizi dharau inapitiliza ofisini.

Utamu unazidi pale anapokuja mdada mpya akapitiwa na yeye na boss kimbembe kinaanza wataanza kufanyiana vitimbi hadi kero😂😂

Ushauri, ukiona inakufaa kumtunuku boss mpe ila jiheshimu hamnaga siri afu kufunuliwa hovyo inakushushia heshima yako kwa wanaokuzunguka.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom