Wanaume wengi hawana confidence na wanaburuzwa na wake zao kwa sababu hawana nguvu za kiume za kutosha

Zee Korofi

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
1,612
1,410
Kwa utafiti wangu nilioufanya in indirect way, umebaini dunia ya leo wanawake wengi hawafikishwi kileleni na waume/ wapenzi wao, ni more than 98.7% approx! Na zilizobakia ndiyo zile za wale wanaofikishwa kwa hapa Tanzania.

Wanaume madhaifu haya yameshatambuliwa na wake zao na hivyo wanawake wanapata ujasiri mno na hii inatumika kama fimbo kwa wanaume. Na ndiyo maana wanawake wana sauti mno siku hizi kuliko wanaume. Jibu ninalo:

Utamfokea vipi aliyekugundua kuwa kitandani humridhishi na uume unanywea mapema?(aibu).

Utamfokea vipi mtu aliyeujua udhaifu wako wa bao moja chali? Kwa nini asiutumie kama fimbo?

Utamfokeaje mtu anayejua kuwa uume wako hauna nguvu/lege lege?

Haya na mengine mengi yamepelekea wanaume kutojiamini na kunyenyekea mno kwa wake zao, inatia huruma sana. Hali ni mbaya sana, na haya 'mavyakula' ya viwandani basi taabu tupu. Acheni tu wanawake wawe na sauti.

Hii imepelekea pia wengi kujificha kwenye kivuli cha mahaba kumbe wananyenyekea ili wasiburuzwe, yaani wana act kuwa submissive wakisingizia mahaba kwa wake zao

Tuache mihemko tuliongee kwa mapana yake hili. Nipo tayari kuchangia hoja na kutoa ushirikiano kwenye utatuzi.
 
Kwa utafiti wangu nilioufanya in indirect way, umebaini dunia ya leo wanawake wengi hawafikishwi kileleni na waume/wapenzi wao, ni more than 98.7% approx! Na zilizobakia ndiyo zile za wale wanaofikishwa kwa hapa TZ.
Kwanini mwanaume ndio amfikishe kileleni? Kila mwanamke ana namna yake ya kufika kileleni. Na kwa sababu anajijua ni kazi yake yeye kuhakikisha anafika kileleni. We unaweza ukawa unakomaa kusugua tuu kumbe mwezio mpaka umpapase na shingoni au kisogoni. Mi ntajuaje?
 
Kwanini mwanaume ndio amfikishe kileleni? Kila mwanamke ana namna yake ya kufika kileleni. Na kwa sababu anajijua ni kazi yake yeye kuhakikisha anafika kileleni. We unaweza ukawa unakomaa kusugua tuu kumbe mwezio mpaka umpapase na shingoni au kisogoni. Mi ntajuaje?
Utetezi bora, hili nalo ni mtambuka.
 
Maishani kuna mengi zaidi kuliko huwo upimbi wa kutaka kuonyesha nguvu za kiume kama unazo, yaani tumeumbwa ili tuzaliane tuijaze dunia, Sasa hayo mengine yanatoka kitabu gani katika Biblia na Quraan?
Kiukweli yameibuka siku hizi, zamani ni mwanaume ndiye alikuwa anaridhishwa na mwanamke, siku hizi ni mwanaume ndiye anatakiwa amridhishe mwanamke, hasa baada ya ujio wa feminism, ndipo neno 'kuridhishwa' kwa wanawake lilipoanzia. Halikuwepo hapo kabla, enzi za babu zetu.
 
Tafuta hela, ukizeeka zitakusaidia.

Ukiugua ni pesa ndo zitakusaidia

Ukikamatwa na polisi pesa ndo zitakusaidia

Ukipata ajali, ni pesa zitakusaidia

Ikitokea vita, ni pesa ndo zitakuokoa

Hizo nguvu za kiume mnazi overrate sana, sababu mnakutana na makahaba, kutiana si kukomoana, fanya hata kama ni dakika moja we endelea na mambo yako, amka ukatafute pesa, ili jamii yako iishi vizuri
 
Tafuta hela, ukizeeka zitakusaidia.

Ukiugua ni pesa ndo zitakusaidia

Ukikamatwa na polisi pesa ndo zitakusaidia

Ukipata ajali, ni pesa zitakusaidia

Ikitokea vita, ni pesa ndo zitakuokoa

Hizo nguvu za kiume mnazi overrate sana, sababu mnakutana na makahaba, kutiana si kukomoana, fanya hata kama ni dakika moja we endelea na mambo yako, amka ukatafute pesa, ili jamii yako iishi vizuri
Umenena ndugu. "nguvu za kiume mnazi overrate sana", pia suala la kufikishwa kileleni kwa mwanamke huenda ikawa ni myth tu za nchi za magharibi ili kuharibu mahusiano
 
Mhh
 

Attachments

  • Screenshot_20221102-232624~2.png
    Screenshot_20221102-232624~2.png
    124.8 KB · Views: 14
Back
Top Bottom