Kuna muda nilikuwa nikikaa peke yangu najihisi huzuni sana, na nilikuwa sijui huzuni inatoka wapi. Au kuna muda mwingine nikiwa peke yangu najihisi kutaka kulia, kuna mwanamke miaka miwili...
Habari,
Mkee wangu mdogo anatimiza mwaka mwingine hapo kesho.
Nataka wimbo vijana mnajua, nimeamua nije niulize jina lake waimba hivi ooooru maaa laaaaa.
Ni wimbo mzuri nataka nimsuprise hapo...
Mimi namjibu kama ifuatavyo.
Fanya kama mchezo wa kombolela
Mwanamume anadokoa kidogo unakimbia sebuleni akikushika anadokoa tena unaponyoka unaludi chumbani anadokoa hakikisha kilA Akidokoa...
Wazazi naomba tuongee kwa dakika 5 tu…
Sisi Tumechoka sana Tukija kuwatembelea makwenu Iwe kipindi cha matatizo Au matembezi ya kawaida, ila Naomba Niongelee sisi ambao tunaofikia makwenu Kuja...
Ndugu zangu..
Habari za wakati huu
Mimi kijana wenu umri miaka 30+, sijaona na wala sina mpenzi maalumu wa kuja kunipikia hata mara mojamoja,
Nimekua kijana mtiifu sana wa kula katika magenge...
Ni hivi,
Tangu tar 25 June niliachwa rasmi Tena kwa karaha na kublockiwa namba zote kila mtu ashike 50 zake NIKAKUBALI MATOKEO.
Leo jioni Nashangaa simu zake nyng ananipigia ila SIJAPOKEA HATA...
Wakuu
Ijumaa usku nmewasili kwa mpenz wangu, nmeacha simu chaji sebleni, Tumewasha mziki mkubwa Kisha tukaelekea chumbani KUFANYA ya KUFANYA.
Baada ya mapumziko ya kipind Cha Kwanza, kainuka...
Naitwa Alex, Elimu yangu ni Degree pia ni mwajiriwa natafuta Mchumba yaani mwanamke wa kuoa.
SIFA
Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea.
Awe mweupe au maji ya kunde.
Asiye kunywa pombe.
Awe...
Jaman nilikuwa na ziara ya kikazi mkoa wa manyara, nimezunguka Mbulu, Haydom, Babati, Karatu na vijiji vingne kama dongobesh, bashay, labay, mto wa mbu, masqaroda, dareda, magugu, bashnet, tumati...
Hivi mwanaume unakuwaje hueleweki, ulikua na crush na mdada wa watu mwaka mzima mkavunja ukimya mkawa kwenye mahusiano.
Badae unaanza kubadilika unapunguza mapenzi, mwenzio anakuuliza kwanini...
Wakati fulani, wanakijiji wote waliamua kuomba mvua. Siku ya maombi watu wote walikusanyika ila kijana mmoja tu alikuja na mwamvuli.
- Hiyo ndiyo Imani.
Unapomtupa hewani mtoto wa mwaka...
Kuna watu huwa wanapitia maumivu makali sana katika ndoa zao na hawana ujasiri wa kuondoka wengine hupigwa mpaka kuvunjwa miguu au kulazwa lakini hawawezi kujiondoa.
Leo utajua chanzo na utajua...
Moja kwa Moja kwenye mada;-
Mwanaume akipata stress za kuudhiwa na mwenza wake huwa anasikia maumivu makali (kama moto unawaka) katikati ya kifua au chini ya titi la kushoto.
Note 1: Hayo...
Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au...
Habarini?
Yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game 🎮 hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo...
Dah, inasikitisha sana
Ndio maana nilikuwa naona watu wanaagiza wali nyama, wanakula vijiko viwili tu, kisha wanatupa msosi na sahani zake kwa dastibini
Kuna binti kaagiziwa kuku rosti mzima na...
Ndugu wanajukwaa wenzangu hivi karibuni nilitembelea jiji la Tanga, Ila niliona yafuatayo ambayo kiukweli ni ya kipekee.
1. Ukifika tu ukitoka demu bodaboda aliyekubeba anakuuliza aweje umbo...
Neno mapenzi si geni masikioni mwa mtu mzima mwenye akili na utambuzi.
Licha ya umaarufu wa neno hilo lakini hakuna hata mmoja ambaye ameweza kutoa tafsiri sahihi ya neno hilo ambayo itakubaliwa...
Wiki iliyopita kuna rafiki yangu mmoja hivi nafanya nae kazi, sasa baada ya muda wa kazi akanivutia waya kwamba niende kiwanja flani yupo na Manzi yake na huyo manzi yake kaja na Pisi kaliii...