Potelea mbali sifa zao ila watoto wa Kiirak (wambulu) ni wazuri ajabu.

bluetooth23

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
348
324
Jaman nilikuwa na ziara ya kikazi mkoa wa manyara, nimezunguka Mbulu, Haydom, Babati, Karatu na vijiji vingne kama dongobesh, bashay, labay, mto wa mbu, masqaroda, dareda, magugu, bashnet, tumati, yaeda chini, endasaki na vingine nimekutana na waschana wa kiirak (wambulu) jaman hawa watoto ni wazur sana dah.. Yan nimewakuta mjini na vijijini, hawa wa mjini hata kama wamefanya mekup bt lakn uzur wa asili upo pale pale, na wale wa vijijini nimewakuta porini wanachunga ng'ombe wamevaa mashuka (migorori) na viatu vilivyotengenezwa kwa matairi ya gari ila dah wakali ile mbaya yan nywele mpaka mgongoni. Wanafanana sana na wajukuu wa mtume kule mashariki ya kati. Ckuwaacha hv hv niliwapgisha gwaride waschana kadhaa dah wakivua nguo jaman unaweza kuziacha tembocard, mastercard na zngne. Hivi hawa watoto asili ya uzur wao umetoka wapi?
 
Umenikumbusha mbali m2 wangu, kuna kadem kamoja kalikuwa kanasoma hotel management pale Victoria Inst ya hapa mwanza, kalinambia ni ka Irak, duh! mtoto nilimpenda kwa dhati naye alinipenda kweli ila sasa tuliweza kukubaliana kuachana kwa sababu za msingi sana. Kibaya nilshapoteza namba yake ya sm, - NI WAZURI KWA KWELI.
 
Wambulu kwa kweli kwa appearance ni wakali ila wengi wao hasa wakishakuja town ni maharage ya mbeya.
 
Jaman nilikuwa na ziara ya kikazi mkoa wa manyara, nimezunguka Mbulu, Haydom, Babati, Karatu na vijiji vingne kama dongobesh, bashay, labay, mto wa mbu, masqaroda, dareda, magugu, bashnet, tumati, yaeda chini, endasaki na vingine nimekutana na waschana wa kiirak (wambulu) jaman hawa watoto ni wazur sana dah.. Yan nimewakuta mjini na vijijini, hawa wa mjini hata kama wamefanya mekup bt lakn uzur wa asili upo pale pale, na wale wa vijijini nimewakuta porini wanachunga ng'ombe wamevaa mashuka (migorori) na viatu vilivyotengenezwa kwa matairi ya gari ila dah wakali ile mbaya yan nywele mpaka mgongoni. Wanafanana sana na wajukuu wa mtume kule mashariki ya kati. Ckuwaacha hv hv niliwapgisha gwaride waschana kadhaa dah wakivua nguo jaman unaweza kuziacha tembocard, mastercard na zngne. Hivi hawa watoto asili ya uzur wao umetoka wapi?

Umeshasema wa Kiirak, halafu unauliza!
 
Ila nimeenda mikoani siku za karibuni...nmegundua kuna wanawake wazuri sana aise....natural...wazuri
 
jamani ngono si mahusiano hebu zungumzeni mambo ya maana zaidi. mnajisifu upuuzi tuu. kama wao ni vicheche na wewe uliyewakumbatia je. Acheni upimbi kwani kufadhiliwa na dada zetu baada ya kulia na kupiga magoti ndio mje huku kwenye mtandao na kuwaita maharage ya mbeya? kweli hamna jema!
 
Jaman nilikuwa na ziara ya kikazi mkoa wa manyara, nimezunguka Mbulu, Haydom, Babati, Karatu na vijiji vingne kama dongobesh, bashay, labay, mto wa mbu, masqaroda, dareda, magugu, bashnet, tumati, yaeda chini, endasaki na vingine nimekutana na waschana wa kiirak (wambulu) jaman hawa watoto ni wazur sana dah.. Yan nimewakuta mjini na vijijini, hawa wa mjini hata kama wamefanya mekup bt lakn uzur wa asili upo pale pale, na wale wa vijijini nimewakuta porini wanachunga ng'ombe wamevaa mashuka (migorori) na viatu vilivyotengenezwa kwa matairi ya gari ila dah wakali ile mbaya yan nywele mpaka mgongoni. Wanafanana sana na wajukuu wa mtume kule mashariki ya kati. Ckuwaacha hv hv niliwapgisha gwaride waschana kadhaa dah wakivua nguo jaman unaweza kuziacha tembocard, mastercard na zngne. Hivi hawa watoto asili ya uzur wao umetoka wapi?

ni kweli they r real beautiful
 
Back
Top Bottom