Niliyoyaona Tanga mjini,Tanga kweli Raha


M

MR.NOMA

Senior Member
Joined
Feb 1, 2014
Messages
133
Likes
32
Points
45
M

MR.NOMA

Senior Member
Joined Feb 1, 2014
133 32 45
Ndugu wanajukwaa wenzangu hivi karibuni nilitembelea jiji la Tanga,Ila niliona yafuatayo ambayo kiukweli ni ya kipekee.

1. Ukifika tu ukitoka demu boda boda aliyekubeba anakuuliza aweje umbo ,alaf baada ya dkk chache anakuletea mtoto wa maana.

2. Ukionekana na demu uliyeletewa na boda asubuhi unamsindikiza wahudumu wa loji hiyo watamponda akiondoka, na baada ya hapo wanakushawishi wakuletee mtoto mzuri zaidi, na unaletwa usikubali.

3.Ukiwa na demu gheto anakuambia wazi kuwa hela ulompa lazma akagawane na dereva wa pikipiki aliyemuunganisha,maana bila huyo asingepata dili

4. Ukiwa handsome na unapita kitaa wamama/ wasichana watazungumza kwa sauti kabisa huku wakikutamani ' haya Sasa mnasema Tanga hamna Wanaume wazuri huyo je?

5. Baa Zipo eneo moja na jirani na zote zinapiga bendi.Tanga Pazuri bar, na nyingine

6. Wenyeji wanapenda wageni na kuwakarimu mno
 

Forum statistics

Threads 1,272,366
Members 489,924
Posts 30,449,024