Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi kijana (ME) wa miaka 25, natafuta mchumba serious, awe na miaka 22-30 Nipo mkoa wa Njombe. Nimeajiriwa kipato 200k kwa mwezi. Shukrani.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau hamjambo nyote? Mada na elimu hii ni kwa wale wenye hekima peke yake na ndiyo wanakaribishwa kujadili Anatakiwa kama Amemaliza leo basi ni vema akasubiri angalao siku 2 hadi 3 kabla ya...
1 Reactions
7 Replies
619 Views
Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo. Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia...
28 Reactions
165 Replies
7K Views
Wakuu, nijibuni haya maswali:- Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni? Na kwanini unavaa hayo mavazi?
9 Reactions
303 Replies
13K Views
Nawashukuru sana Wana jf kwa ushauri Mlio nipatia. Asubuhi nilipost chapisho hapa kwa upendo wenu mkuu mmenipa ushauri mimi kijana mdogo na maskini. Japo Kuna baadhi walini kejeli lakn hiyo ni...
3 Reactions
7 Replies
773 Views
Unyumba au tendo la ndoa ni kitu cha ajabu sana, unaweza ukapewa sababu kama kudanganywa hivi ili utulie tu, na mwingine akakupa sababu ya kuumwa au kuchoka ukamuelewa sana tu. ila makusudi tu...
1 Reactions
98 Replies
12K Views
Habari ya wakati huu mashabiki wa Azam na Yanga, ninyi wengine mtapewa salamu zenu na Prince Dube Mfalme wa Bulawayo Leo nataka niongee na wanaume, kama kawaida beberu wenu J nakuja na mada ya...
6 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari za majukumu waungwana. Nisiwachoshe sana iko hivi, kuna brother angu mmoja amekuja nimpe ushauri juu ya tabia ya mke wake. Mke wake bwana anatabia ya kugawa sana vitu akinunuliwa kama...
3 Reactions
10 Replies
758 Views
UNCLE Musa. After living in the United States for 40 years and at the age of 70, Uncle Musa finally relocated to Salagie, The Gambia this year to live in his 5-bedroom house which took him 10...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana JF, Kama mada isemavyo hapo juu mimi nina mpenzi niko nae kwenye mahusiano almost 3yrs nampenda siwezi sema tunapendana maana sijui upande wake ananichukuliaje Now amebadilika sana...
23 Reactions
175 Replies
12K Views
Watoto wa miaka ya 2000 watadhani umaskini ulifanya nivae yale "matambala" yanayotumika kwenye mashine za kusaga na kukoboa wakati watu wazima waliponiona na suruali hiyo waliwaambia madogo...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Nadhani sijavunja protokali za kibalozi Wala kumshushia hadhi yake. Kiufupi hii ni pisi ya ukweli kuanzia Lips,kifua saa Sita Hadi hips za ki model. Hivi nawezaje kupata mawasiliano yake...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu, habari za jioni? Nawakumbusha wazazi na walezi kuwa makini na malezi ya watoto hasa kwenye michezo Yao pindi wakutanapo na watoto wengine. Ni wazi baadhi ya michezo michefu ikiwemo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini za jioni wakuu, moja kwa moja niende kwenye mada. Hii ni kwa wanaume wenzangu, hivi mnawezaje kukaa na demu mmoja zaidi ya wiki moja na kuendelea?. Mimi kila nikijaribu kukaa na demu...
7 Reactions
77 Replies
5K Views
Ilikua Jioni majira ya saa 12 Mwaka 1995 Mkoani Mbeya alibishwa hodi nyumbani kwetu na mdogo wangu Asubisye Alitoka kwenda kuitikia wito na kumkaribisha mgeni.Alikua ni mama wa makamo amebeba begi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Awe na 19-25 age Kasoma ajasoma, educated or not it’s ok Wa nchi yeyote ilee hata aliyekulia tanzania/any country Kuhusu muonekano sijali urefu sijui ufupi, shape i don’t care Kuhusu uchumi wangu...
13 Reactions
122 Replies
5K Views
Wadau nawasalimu tena kwa mara nyingine. Najua mpo fresh na mambo yanatembea hata kama ni kigumu. Leo nimeona niwape mkasa ambao nimeuhifadhi kwa muda mrefu kidogo nikiwa nasubiri nipate uhakika...
12 Reactions
64 Replies
11K Views
Kijana Aliyeachwa na Mpenzi User Andika stori ya kuhuzunisha kuhusu kijana aliye achwa na mpenziwake anayeita devota ChatGPT Kulikuwa na kijana aliyejulikana kwa jina la Adamu ambaye alikuwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mke/mchumba; 1. Awe na miaka 25-33. 2. Awe amesoma atleast form 4 na kuendelea (Degree,master, PhD). 3. Awe na akili ya maisha yani mtafutaji au mwenye kazi yake. 4. Awe na hofu ya Mungu...
6 Reactions
69 Replies
4K Views
mliowahi kuitumia kwa kuogeshana mtupe uzoefu hapa zinaongeza ashki ? zina maajabu yapi mengine ? na
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…