Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Nawashukuru sana Wana jf kwa ushauri Mlio nipatia.
Asubuhi nilipost chapisho hapa kwa upendo wenu mkuu mmenipa ushauri mimi kijana mdogo na maskini. Japo Kuna baadhi walini kejeli lakn hiyo ni nature ya mwanadamu.
Mungu awabariki sana wakuu zangu.