Mnawezaje kukaa na mwanamke mmoja kwa muda mrefu?

Mnawezaje kukaa na mwanamke mmoja kwa muda mrefu?

Bwana misitu

Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
40
Reaction score
97
Habarini za jioni wakuu, moja kwa moja niende kwenye mada. Hii ni kwa wanaume wenzangu, hivi mnawezaje kukaa na demu mmoja zaidi ya wiki moja na kuendelea?.

Mimi kila nikijaribu kukaa na demu nashindwa wazee, yani nikishatafuna mara moja au mbili tuu sitaki tena kumuona wala kuona ananicheki kwa simu. Kila nikipata pisi nasema hii natulia nayo ila nikishaitafuna mara moja tu naipiga chini natafuta ingine siku hiyo hiyo..

Naombeni muongozo wenu wakuu nyie mnawezaje kudumu na manzi mmoja yaani ndo mbususu yako unayoichakata kila siku?..
 
Habarini za jioni wakuu, moja kwa moja niende kwenye mada. Hii ni kwa wanaume wenzangu hv mnawezaje kukaa na dem mmoja zaidi ya wiki moja na kuendelea?.

Mimi kila nikijaribu kukaa na dem nashindwa wazee yani nikishatafuna mara moja au mbili tuu sitaki tena kumuona wala kuona ananichek kwa simu. Kila nikipata pisi nasema hii natulia nayo ila nikishaitafuna mara moja tu naipiga chini natafuta ingine siku hyo hyo..

Naombeni muongozo wenu wakuu nyie mnawezaje kudumu na manzi mmoja yani ndo mbususu yako unayoichakata kila siku?.
Muulize baba yako alivyokaa na mama yako muda mrefu utapata jibu mwanangu. Acha umalaya ukimwi utakuzoa
 
Back
Top Bottom