Me natafuta mtoto tuu...grama za mimba ni za mwanamke mimi natumia gharama kumlea tu.sina time na demu.......malezi uwe tayari kumuachia bibi yake mama yangu amleee....uhuru wa likizo ni juu ya mama.
Jamani sijui nimekuaje maana siku hizi sina hamu kabisa navitoto au wasichana wa umli wangu......
Nimejikuta nikipenda sana wanawake walionizidi umri sijui kwanini akipita demu antihivi au mmama...
Hi JF: Natafuta rafiki wakike ambaye baadaye atakuwa mkewangu.
Sifa: 1.Mkristo.
2. Age range from 24-28 yrs old.
3. Husiwe ushatowa mimba .
3. Huwe na upendo wa...
Naitwa Sylvatory 27 nipo moro natafuta ajuae kupenda anaeheshimu hisia niko ready kumpa muda wowote akitaka alie serious anicheck 0714455551 sina vigezo zaidi ya penzi la dhati
Hello JF?
Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo:-
JINSIA : MWANAMKE (asiye kwenye ndoa)
UMRI: >= Miaka 18
ELIMU: Kuanzia Sekondari hadi Chuo Kikuu
KAZI: Awe ni Mfanyakazi au...
I have 2 brothers, who are searching for ladies to marry. One of the qualities are, You should be beautiful because they are the most handsome guys on planet earth. And me as uncle need...
Dada zangu habari zenu , sasa mmi ni kija wa miaka 25. ila sasa sina mchumba wa kueleweka maana kila ambaye ni xrafiki yangu sasa labda nataka nimsogeze karibu zaidi nagundua kuwa mimi kwake ni...
Si kawaida yangu... ila upweke unanifanya nikuombe wewe dada utakayependezwa kuchati nami basi unikubalie tuuu...
Nakusubiri.....ila si mambo ya tendo...Dini yangu hairuhusu tendo mpaka kifo...
HABARI ZENU WANA JF WOTE.
NATUMAINI KWA UWEZO WAKE MUNGU WOTE HATUJAMBO, NINAJITOKEZA KULETA ADHIMA YANGU YA KUTAFUTA MCHUMBA WA KIKE, ALIYE TAYARI KUOLEWA NA KUISHI NA FAMILIA KWA AMANI...
Bila kupoteza muda ku type, naomba niwe rafiki yako hasa mtoto wa kike,maana wa Kiume nimewazoea sana,siku zote wana habari za kwenda bar tu. So,natamani marafiki wa kuchat nao kwenye...
Mimi ni mdada, Natafuta rafiki wa kuchat naye, iwe serious + fun chating, kubadilishana mawazo na kupeana idea tofauti za kimaisha zaidi.
Awe na umri kuanzia miaka 30 na kuendelea popote...
Hello JF?
Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo:-
JINSIA : MWANAMKE
UMRI: >= Miaka 18
ELIMU: Kuanzia Sekondari hadi Chuo Kikuu
KAZI: Awe ni Mfanyakazi au mwenye kuingiza kipato halali
DINI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.