Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu: Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo PM kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Habarini wapendwa, Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta girlfriend (19-21) awe mwembamba akiwa na English body itakua sifa ya nyongeza urefu wangu ni 120cm sikumbuki vizuri, asiwe mfupi rangi...
21 Reactions
212 Replies
6K Views
Mwaka unaisha ivo sijapata mke Naishi vikindu Kama yupo basi aje mwenye miaka 25-35. Aliyetayari tuyajenge DM
1 Reactions
2 Replies
408 Views
Hello Natafuta mwanamke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea mambo mengine tutaongea akipatikana. Mimi naitwa John niko Dar kwasasa. Umri wangu miaka 35.
4 Reactions
14 Replies
866 Views
30s umri huu Kwa mwanamke anabidi kufocus kutafuta mwanaume kwao huko Mtaani kwao. Sio anadanga huko Mtaani miaka yote na kutoa mimba then anakuja huku ambako afahamiki ili ajipatie dodo kwenye...
7 Reactions
8 Replies
452 Views
kwema wa dada na mishangaz ya kati na maanisha wale wa 97 hadi 99, kama mada inavojieleza natafta mke mwenye tabia nzuri, mpole na mnyenyekevu pia mcha mungu. sifa hasiwe fake sana rang yeyote...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Ninajitokeza hapa nina nia ya dhati na kweli kutoka moyoni nimejitokeza hapa natafuta mke wa maisha mwenye HIV Positive, siitaji mpenzi naitaji mke! Napatikana Dar es Salaam, nina miaka 52, maji...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana JF, mimi ni mwanaume, umri miaka 27, dini mkristo, natafuta rafiki wa kike ambae baadae anaweza kuwa mke, kama umevutiwa karibu inbox.
1 Reactions
1 Replies
447 Views
Habari ndugu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni mpweke na nipo singo, natafuta mwanamke ambaye atanipa faraja moyoni kwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu. Nina uhitaji wa...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Natumai mu wazima wa afya, Twende moja kwa moja kwenye maada kuu, kama watu wa kiroho wanavyotafsiri alama hii 11:11 , kuhusu alama hiyo kwa upande wangu kila siku naiona kwenye mizunguko ya...
1 Reactions
7 Replies
737 Views
Wakuu kwema? Kuna ndugu yangu anatafta mwanamke wa kuoa lakini shart lake awe na garden love za kutosha. Nawasilisha.
1 Reactions
12 Replies
690 Views
Hello Naitwa Octavian mwenye umri wa miaka 37.Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia 28 nakuendelea. Awe mkristu,kabila lolote. Kazi yangu nimejiajiri . Aliye tyr aje pm tuyajenge au...
3 Reactions
8 Replies
807 Views
Namtafuta mpenzi mwenye ako na miaka 21 hadi 24 na lazima awe mjamungu.Mimi ni mkenya..,contact me thrue vinropyah@gmail.com if u r interested.
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Habari wakuu. Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe. Vigezo ni awe...
18 Reactions
71 Replies
3K Views
Habari, nipo Arusha natafuta mwanamke umri kuanzia miaka 28 hadi 37 tuishi na tuzae mtoto, sichagui Kabila wala dini. Asiwe mlevi, mvivu. Alie serious anifuate inbox
1 Reactions
3 Replies
452 Views
Vigezo Awe na 38-45 Dini yoyote Awe na shughuli nipo serious nimechoka kukaa single aliyeserious aje pm Mimi Umri 30 Ninajishughulisha Nina mtoto Naishi Dar Mengine tutaaambizana
13 Reactions
77 Replies
5K Views
Natafuta mwanamke wa kuoa, akiwa mwajiliwa serikalini au amejiajiri itapendeza zaidi Mimi mme Umri: 27 Makazi: Mwanza Kabira: Mnyamwezi aliyekidhi vigezo njoo PM
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Mimi ni ME Umri 30+ Naishi -Dar es Salaam Kazi -Mjasiriamali Mwenye utayari Awe KE umri : 30< Elimu : kusoma na kuandika tu Makazi : Dar es Salaam Loading............
3 Reactions
4 Replies
718 Views
Hello members habari! Mimi ni Mumama aged 38! Independent, nimeajiriwa, pia niko na business nyingine,elimu shahada ya pili na niko na kids pia. Nahitaji mubaba (mzee mwenzangu) wa kumaliza nae...
14 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom