Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Kama title ilivyo Sifa binafsi (mimi) Umri-31 Dini-mkristo (Anglican) Elimu-chuo Taaluma-maabara Kazi-Afya Rangi-mweusi Urefu-wastani Mwanamke awe Umri-kuanzia 20 Dini-yoyote Elimu-kuanzia kidato...
2 Reactions
71 Replies
5K Views
Mimi ni mwanaume umri miaka 33. Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo . Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Anatafutwa mwanamke anayetaka kuolewa mwenye sifa zufuatazo, Awe na miaka kuanzia 27 mwisho miaka 35. ASIWE NA MTOTO. ASIWE NA ANATUMIA DAWA YA KUFUBAZA. Anaweza akawa nesi, mwalimu, banker...
2 Reactions
9 Replies
921 Views
Greetings, A female in her 30's is searching for a man with the following, -High libido(be very sure about this) -Healthy heart. -No hereditary diseases. -Proper mental health. -Must be willing to...
20 Reactions
136 Replies
6K Views
Hi… Mimi ni kijana 30+ nina tafuta mwanamke wa kuanzisha nae maisha Sifa :spiritually understanding :mbunifu wa kutafuta kipato :Asizidi 34+ Dini yoyote Kazi yangu na...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Guys rafiki yangu 42yrs( ME) Anatafuta mchumba kutoka nchi za Scandinavia Hasa hasa Sweden. Aliachana na mzungu wake Miaka miwili iliyopita na sasa anataka kupenda Tena! Anawatoto wawili age 10...
3 Reactions
15 Replies
968 Views
Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa Mkristo hasa mpetekoste NB alietayari ku asili mtoto Awe mkoa WA...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa miaka 32, mkristo, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja. Karibu PM Sifa za mwenza ninayemtaka 1. Awe na umri...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari Wana JF, Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo: 1. Awe Muislam mwenye kuifata dini yake angalau awe ana swali na kuvaa nguo za stara 2. Umri 20-30 3. Asiwe mrefu kunizidi, mimi urefu wangu...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu 🙏 Tafadhali rejea: MWANZO 24: 1 - 51. WAEFESO 5: 22-33. Naamini Mungu ni mwema wakati wote. Mwenye UHITAJI lakini pia mwenye sifa nilizotaja hapo juu na mwenye hekima na...
2 Reactions
7 Replies
721 Views
Habari za majukumu ndugu zangu wote! Nategemea kuoa mwakani Mungu akijaalia, kutokana na expirence ya mahusiano ya sasa na maisha kwa ujumla Mimi binafsi nimetamani kutaka kuoa mwanamke ambaye ni...
16 Reactions
74 Replies
3K Views
Natafuta sugar mummy, nita-mdrive every where she wants na nita-do everything she need kwenye swala la LOVE niachie. Mimi mimi ni mrefu kiasi, mnene kidigo, ninacheza basketball, naish Kigamboni...
6 Reactions
21 Replies
8K Views
Natafuta mtoto wa kike mwenye sifa zifuatazo: Asiwe na urefu wa zaidi ya futi 6 au chini ya futi nee. Awe na rangi ya maji ya kinda, hata akiwa mweupe hakuna yaani. Asiwe na zaidi ya miaka 25...
0 Reactions
5 Replies
721 Views
HABARI ZENU NDUGU ZANGU 🙏 Najitokeza kwenu, na kwa kumshirikisha Mungu kuwa natafuta mwanamke wa kujenga nae familia pamoja. Kama kuna mwanamke ambaye anaji-consider yeye mwenyewe kuwa ni "WIFE...
2 Reactions
7 Replies
800 Views
Habari wana JF, Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu, Nipo hapa kutafuta mwanamke serious ambae atakuwa mke endapo tutaridhiana, sifa zangu ni zifuatazo; Umri: 30 Elimu: Degree...
0 Reactions
1 Replies
513 Views
Habari wakuu nina umri wa miaka 26 napitia changamoto ya mahusiano nahitaji mwanamke wa kuishi nae umri kuanzia miaka 35 had 35 nafanya biashara zang ndogo ndogo nipo dar es salaam
1 Reactions
7 Replies
752 Views
Niko Arusha Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama, asiwe mfia dini za wazungu Mimi ni mweupe maji ya kunde, umri wangu miaka 35, sijaoa wala sina mtoto Rafiki ninayemtaka Awe mweusi Awe mrefu...
12 Reactions
103 Replies
5K Views
Nipo hapa kutafuta mchumba mwanamke nimekuwa single kwa muda mrefu. Vigezo dini yeyote, umri wowote sichagui mahusiano serious kwa ambaye yupo serious ani Pm niko DSM.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau tunawashukuru kwa Kushiriki kwenu. Tunamshukuru Mwenyezi MUNGU,Mwoaji amefanikiwa kumpata Mke Mwenye Sifa 15 Kati ya 16, Kilicho Bakia Hivi sasa ni mchakato wa ndoa yenyewe Kukamilishwa...
2 Reactions
6 Replies
568 Views
Back
Top Bottom