Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli anatarajiwa kuhukumiwa kifungo Ijumaa ijayo kwa kosa la kupuuza maagizo ya Mahakama mara saba. Jaji Lawrence Mugambi ameeleza kuwa IGP...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
DADA AHONGWA MPAKA SERIKALI YAINGILIA KATI Mahakama ya kupambana na Rushwa Nchini Kenya, imeagiza account ya bank ya Mwanafunzi wa chuo cha Ufundi Nairobi. Felesta Njoroge (21) Ifungwe kwa siku...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Ni breaking news hapo Citizen TV Taarifa kamili itawajia tuzidi kuwaombea. --- Property of unknown value was destroyed on Saturday evening after a fire incident at Isiolo Girls High School. This...
1 Reactions
4 Replies
728 Views
Baada ya Starlink kushusha bei ya plans zake na kuintroduce kifurushi cha Ksh. 1,300 ambayo ni sawa na kama Tsh. 26,000 za kitanzania kwa 50GB kwa mwezi na plan ya Tsh. 400 kwa GB 1 (20KES) pale...
32 Reactions
97 Replies
6K Views
Huko Kenya, pacha wawili wamemuomba mwanaume mmoja awaoe ili wasitengane. Pacha hao wenye miaka 20 wamesema hawataki kutenganishwa hivyo waolewe na mwanaume mmoja. Bwana Oleman Learat mwenye...
15 Reactions
121 Replies
5K Views
Wanafunzi 16 wameripotiwa Kupoteza maisha baada ya ajali Moto kutokea katika moja ya Mabweni ya Shule ya Hillside Endarasha iliyopo Kieni, Nyeri usiku wa kuamkia Septemba 6, 2024. Msemaji wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Msiba mzito huko kenya Naibu Gavana wa Lamu Raphael Munyua afariki akipokea matibabu katika hospitali moja jijini Nairobi, Katibu wa Kaunti Balozi Abass Ali athibitisha...
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi Taarifa hiyo...
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Mishahara ya Polisi yapanda Mwenyekiti wa NPS amesema mishahara mipya itaanza kulipwa mwezi huu --- Police officers in the country can now smileto the bank after receiving a pay rise of between...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Akizunguza Agosti 29, 2024 katika kikao na Wananchi, Kisumu Rais Ruto amesema hana taarifa ya mtu yeyote aliyeripotiwa kutekwa na vyombo vya usalama vya nchi wakati au baada ya maandamano ya hivi...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
I listened to the analysis by this gentleman and I seem to agree with him that Raisa will lose again, and this must come out as a terrible frustrating blow to him...
0 Reactions
1 Replies
569 Views
1. Raila Amollo Odinga kupitia ODM ameokota Dodo kwenye mti wa mpera kwa Viongozi wa Chama chake Kuteuliwa nafasi za uongozi kwenye serikali ya Kenya. Huku Gen Z wakiendelea Kula vumbi Kibera na...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Shirika la utafiti lenye makao yake nchini uholanzi lilifanya utafiti barani afrika kuhusu urefu wa sehemu za kiume. Nchini kenya watu 500,000 walipimwa. Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo: 57% ya...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Wizara ya Afya imethibitisha kisa cha pili cha Mpox katika kituo cha mpakani cha Malaba katika Kaunti ya Busia. Katika taarifa yake siku ya Ijumaa, Katibu wa Baraza la Mawaziri la Afya Dkt...
0 Reactions
3 Replies
714 Views
KEnya Walimu huu unaweza kuwa ni mgomo wao wa pili ndani ya huu mwaka mmoja. Hawa wako serious sana na maisha yao hawako kwa ajili ya kufurahisha mtu. Walimu Wakenya hawana muda wa kujikomba...
14 Reactions
33 Replies
2K Views
Mwezi huu maada ya mchakato wa mwaka mzima Kenya imeitangaza rasmi Eldoret kuwa jiji la 5 katika nchi hiyo, hata hivyo Wakenya wengi wamedhihaki na kukebehi uamuzi huo wakiita Eldoret kuwa bado ni...
3 Reactions
73 Replies
4K Views
KAMA movie vile! Benki ya Equity nchini Kenya imeripoti kuibiwa kwa zaidi ya Shilingi za Kenya Bilioni 1.5 sawa na Shilingi za kitanzania Bilioni 30.Tukio hilo la aina yake liliripotiwa Julai...
6 Reactions
57 Replies
3K Views
hii ni kutokana na namna alivyofanikiwa kushughulikia na kuzima hasira za vijana wa gen z na kuwanyakua baadhi waandamizi machachari wa Raila Odinga na kuwapa kazi ndani ya serikali yake ya...
0 Reactions
8 Replies
925 Views
UPDATE: August 22, 2024 KUTOROKA KWA WAFUNGWA: SHAHIDI ADAI WALITOKEA MLANGO MKUU KWA KUTEMBEA Taarifa mpya zinaeleza Wafungwa 13 walitembea na kutoka kupitia mlango mkuu wa kituo cha Polisi...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Mwanaharakati afichua Miradi Hewa ya Rais Ruto Wakili na Mwanaharakati wa Uwajibikaji, Morara Kebaso alianzisha ziara ya kitaifa ili kukagua Maendeleo ya Miradi iliyoanzishwa na Rais William Ruto...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…