NASA wafikia maamuzi kwamba maandamano yawe yafanyika Nairobi tu

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,652
48,417
Hii ni kutokana na vurugu za Kisumu ambapo kila wakiandamana huwa wanafanya vituko vya kila aina ikiwemo kuchoma moto biashara za watu na magari na uporaji.
Lakini hata hapa Nairobi huwa wanapitiliza.

---------------------------------------------------------------

Governor Nyong’o has banned any demonstrations in the city unless called by NASA saying Kisumu has been targeted by a group of young people who take advantage of demonstrations to destroy and loot property.
“Raila Odinga has made it very clear that demonstrations will only be held in Nairobi after meeting NASA governors and I was there,” he stated in an address to the press.

Nyong’o termed as criminal acts, actions by youths who barricade roads, rob locals and pelt vehicles with stones during demonstrations.

“Who are these people taking decisions without the party –ODM – directing them yet we have party leadership led by myself in this county?” he asked.

“Somebody decides they’re going to block roads, take money from women and rob our visitors. These are criminal acts!”

He urged the police to deal firmly with those who go against the law adding that demonstrations must conform to legal guidelines.


“Demonstrations must be peaceful and not violence and therefore we’ve told the police to deal with anybody putting stones on the road. Anybody molesting a dweller residing in Kisumu will be treated as a criminal,” Governor Nyong’o warned.

Investors in Kisumu have expressed concerns in the recent past over the increasingly hostile business environment occasioned by disorderly demonstrators who have had a trend of storming into private businesses during demonstrations.
Governor Nyong'o bans demos in Kisumu » Capital News
 
That's a good move by Governor Nyong'o...NASA protesters often cross the line...
 
Ni haki yao kikatiba, how can someone ban ?
Siasa za Kenya ni kama wamechanganyikiwa hiyo nchi, leo watasema hivi, kesho watasema tofauti na jana, hawa NASA walienda mahakamani kupinga amri ya Matiang'i alipozuia mahandamani na wakashinda, leo wao ndiyo wanayakataza kwa kutumia sababu ile ile iliyotolewa na Matiang'i ambayo wao walisema sio sababu ya msingi, Truly Kenya is a confused country...
 
Ni haki yao kikatiba, how can someone ban ?
Mnaandamana wakati 'baba' yao akila bata na toto la kizenji
d18961c05d4aff458efb928c9c5d1011.jpg
8c8e26d970212b6303ab0762bab77d2c.jpg

 
Duh baba yeye anakula TIGO tu huko zanzibar na yuko beneti na LI-MENDE maarafu huko zanzibar kila picha anapiga nalo,kweli baba kaenda sehemu sahihi yakheee
 
Wow, watu wanakimbilia Ku JUDGE BOOK BY ITS COVER. What a shame
Acha zako wewe, unaona hadi viatu vyake vyote kavivua kabisaa hata hakumbuki vilichomoka saa ngapi ni kama kwenye ajali ya bodaboda vile. Chezea Baba weye! Moto wa kuotea mbali.
 
Acha zako wewe, unaona hadi viatu vyake vyote kavivua kabisaa hata hakumbuki vilichomoka saa ngapi ni kama kwenye ajali ya bodaboda vile. Chezea Baba weye!
Haha, its Zanzibar, mchangani viatu vya nini? Au ndio nyinyi mkinunu pair mpya ya viatu mnalala nayo kitandani. Baba had long run ya election, mwacheni apulizwe na upepo wa marashi ya karafuu.
 
Haha, its Zanzibar, mchangani viatu vya nini? Au ndio nyinyi mkinunu pair mpya ya viatu mnalala nayo kitandani. Baba had long run ya election, mwacheni apulozwe na upepo wa marashi ya karafuu.
Kweli kabisa marashi ya karafuu na ladha ya k.nembe. I did not just type that. :D:D:D
 
Back
Top Bottom