Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

I know many threads zimeshafunguliwa about this in Tanzanian forums ila niliona niwaletee habari hii ndugu zangu wakenya. Karibuni Bongo mpate world class services! Can accomodate over 570...
15 Reactions
189 Replies
26K Views
Rais Kenyatta amewakaribisha watanzania na wengine katika jumuia ya afrika mashariki kwenda Kenya kuchumbia wasichana (kumiliki ardhi) na kuoa huku akijua kuwa wasichana wote wa Kenya...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Kenya traders on Taveta border complain of harassment by Tanzania authorities By Renson Mnyamwezi Published: Nov 26th 2017 at 12:49, Updated: Nov 26th 2017 at 12:50 Traders carry on their...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
kenya kuna upungufu mkubwa wa madaktari na wanasheria. Tukumbuke kuwa kama wewe ni mwanasheria kutoka taifa lolote la jumuia ya afrika mashariki basi una haki ya kuhotubia kotini kule. Na kuna...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Habari zimejitokeza kwamba polisi wengi wamewekwa doria kwenye maeneo ya Namanga ili kuwakabili vijana wa kimaasai waliokua wanataka kumzuia Magufuli asiingie Kenya kuhudhuria kuapishwa kwa rais...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Polisi wamefanikiwa kurejesha kiasi cha Kshs milioni 17 ambazo zilikuwa ni kati ya milioni 50 zilizoibwa kwenye benki ya Kenya Commercial Bank tawi la Thika Novemba 20 Polisi walifanikiwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kama kweli nchi yenu imekua ya viwanda kama jinsi huwa mnatuaminisha, nawaomba hili jipu mlitumbue pia, maana hawa ni ndugu zenu wanateseka sana na wanendelea kuongezeka kila uchao, wanaletwa huku...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Vurugu kubwa zinaendelea manyanja road wakati Laila akihutubia, mabomu ya kutoa machozi yanaendelea kurindima =============================== -Wafuasi wa Laila wanapigwa virungu na kutawanywa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Polisi wanapambana kudhibiti sala zilizopangwa na wafuasi wa upinzani (NASA) katika viwanja vya Jacaranda huko Embakasi, Nairobi Polisi walirusha mabomu ya machozi kila mahali ikiwa pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuapishwa rasmi hii leo,kwa muhula wa pili mjini Nairobi katika uwanja wa Kasarani Serikali imesema viongozi 20 wa mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Viongozi waliomzunguka wamekua kwenye mstari wa mbele kumshinikiza akubali kuapishwa kama rais wa nchi, lakini leo kwenye kongomano, amekatalia mbali hilo wazo akisema kwamba ni kosa la uhaini na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msichana huyu alizawadiwa KES 100,000/TSH 2,000,000 Na Albinism Society of Kenya. Walimuahidi kuwa watalipa karo ya shule hadi atakapofika kidato cha nne. Ako sawa kujieleza kweli
4 Reactions
67 Replies
7K Views
Wakati Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Kenya Jumanne ya wiki ijayo, Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA) nchini humo pia umetangaza kuapishwa kwa Raila Odinga kuwa Rais wa taifa...
2 Reactions
47 Replies
10K Views
Thinking aloud will police batter NASA Uhuru Park while Uhuru is sworn in Kasarani? Umoja na amani iwe ngao yetu.
0 Reactions
4 Replies
881 Views
Jeshi la polisi la Tanzania lakanusha kuwakamata usalama wa taifa wa kutokea Kenya wanaosemekana kumfuata Raila hadi Tanzania...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
NSSF scales down Hazina Towers to 15 floors instead of 39 By Macharia Kamau Published: Nov 24th 2017 at 22:17, Updated: Nov 25th 2017 at 00:21 Nakumatt Lifestyle along Morktar Daddah Street...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Economically, according to the EAC's national budgets announced in jully this year with Kenya in march, the total Tanzanian and Ugandan budgets equals to the Kenyan one. Tanzania (30.75tr Tsh) +...
5 Reactions
69 Replies
7K Views
Mbunge wa Jimbo la Starehe, Charles Kanyi (Jaguar) amethibitisha taarifa za gari lake kupata ajali Jumapili ya leo. Asema walinzi wake binafsi pamoja na dereva wajeruhiwa na wanaendelea na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mamlaka ya mawasiliano ya Kenya, imetangaza kupigwa marufuku kwa upeperushaji wa matangazo ya moja kwa moja wa mikutano ya kisiasa, katika kile ilichokiita “kusaidiA kupunguza hali ya taharuki...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom