Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Waandamanaji na vijana wenye hasira kali wamemfukuza kwenye mochwari mbunge wa Wanawake wa Kaunti ya Homa Bay, Joyce Atieno, anayejulikana kama 'Bensouda'. Bensouda alikuwa ameendaa kutazama...
0 Reactions
8 Replies
825 Views
https://www.youtube.com/watch?v=Wn-0pGD3hwg Mamia ya waandamanaji wamekusanyika katika maeneo mbalimbali ya jiji la Nairobi na miji mingine nchini Kenya wakipinga mipango ya serikali kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
914 Views
Video ya ulinzi (CCTV) iliyopatikana hivi punde imethibitisha kuwa Albert Ojwang’ alikuwa tayari amefariki wakati alipofikishwa katika Hospitali ya Mbagathi na maafisa wa polisi kutoka Kituo Kikuu...
0 Reactions
4 Replies
399 Views
Ninatolewa kafara. Sasa mimi ndiye mshukiwa mkuu wa mauaji ya Albert Ojwang, ingawa sina hatia. Maafisa wa DCI walipomleta Albert Ojwang katika Kituo Kikuu cha Polisi, alikuwa katika hali mbaya...
17 Reactions
95 Replies
4K Views
Wale wapenzi wa Katiba Mpya mnaweza kufuatilia impeachment ya Naibu Rais mh Gachagua Mtajifunza mengi mazuri na madhaifu pia Maseneta bado wamejifungia Kwenye kikao cha faragha ambacho...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Mali zenye thamani ya zaidi ya Tsh.8.5 bilioni (sawa na Ksh.428 milioni) zinazohusishwa na aliyekuwa Gavana wa Migori, Okoth Obado, na washirika wake zinatarajiwa kuuzwa kwa mnada tarehe 23 mwezi...
0 Reactions
3 Replies
481 Views
Maandamano yamezidi kushika kasi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, siku ya Alhamisi, ambapo magari yalichomwa moto na polisi walifyatua mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji waliokuwa na...
2 Reactions
13 Replies
853 Views
Mamlaka Huru ya Uangalizi wa Utendaji wa Polisi (IPOA) imetoa tahadhari kuhusu kuongezeka kwa vifo vinavyotokea wakiwa mikononi mwa polisi, ikieleza kuwa angalau watu 20 wamefariki katika kipindi...
0 Reactions
7 Replies
624 Views
Mtuhumiwa wa pili amekamatwa kuhusiana na mauaji ya kikatili ya mwalimu mwenye umri wa miaka 31, Albert Ojwang’, hatua inayozidi kuongeza uzito wa uchunguzi wa tukio hilo la kusikitisha. Vyanzo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inspekta Generali kwa niaba ya Jeshi la Polisi Kenya ameomba radhi kuhusu ripoti iliyotolewa na polis kuwa Ojwang' alikufa baada ya kujigonga mwenyewe ukutani alipokuwa gerezeni Asema ripoti hiyo...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao...
2 Reactions
77 Replies
3K Views
"Wananchi hawakutuchagua ili tulalamike kama wao, tunapaswa kuona haya... Tuchukulie kwa uzito kifo cha Albert Ojwang," Seneta Cheruiyot aliwaambia maseneta ================= “The people did not...
0 Reactions
2 Replies
290 Views
Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa...
1 Reactions
2 Replies
473 Views
Polisi wamethibitisha kuwa Albert Ojwang alikuwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za kuchapisha taarifa za uongo na alifariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kudaiwa kujigonga ukutani akiwa...
2 Reactions
2 Replies
615 Views
Rais William Ruto ameteua rasmi Erastus Edung Ethekon kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC). Uteuzi huu umefanyika kupitia Tangazo la Serikali (Gazette Notice No. 7724)...
1 Reactions
1 Replies
450 Views
Seneta wa Kericho, Aaron Cheruiyot, alisema: "Wakati mmoja wetu (Mbunge wa Kasipul) alipopoteza maisha, tulikuwa tunapewa maelezo ya kila hatua, saa kwa saa, lakini hadi sasa, hatujajulishwa hata...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
Mwanaume mmoja aitwaye Albert Ojwang alifariki saa chache baada ya kukamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kutokana na chapisho alilodaiwa kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Uchunguzi uliofanywa kwenye maiti ya Albert Ojwang' umebainisha 'kujidhuru' si sababu ya kifo chake ndani ya Kituo cha Polisi Nairobi (Central Police Station). Uchunguzi huo umebaini kuwa Albert...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Baba wa Albert Ojwang' alilia baada ya mwanawe kupatikana amefariki katika Kituo Kikuu cha Polisi, saa chache tu baada ya kukamatwa na maafisa wa DCI huko Homa Bay na kusafirishwa hadi Nairobi...
0 Reactions
7 Replies
624 Views
Back
Top Bottom