Rais William Ruto: "Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa njia yoyote ile, Mtusamehe... Kwa marafiki wetu nchini Uganda, ikiwa kuna jambo lolote baya Wakenya wamefanya, tusameheeni...
WanTam ni One term President. Atatoboa kweli 2027 uchaguzi mkuu? au ni ushabiki /slogan za upinzani . Lakini ukiendwa Tweeter, WanTam inatawala kuliko political slogan zinazompa nguvu/uwezo wa...
Afisa wa polisi wa barabarani aliyekuwa na nia ya rushwa leo alijaribu kumdai hongo dereva wangu – hadi akatufuatilia kwa pikipiki. Ilibidi nishuke kutoka kwenye gari, na mara aloniona akasema...
Walinzi waliokuwa wanamlinda Naibu Rais Gachagua Hospitalini Karen wameondolewa baada ya MATOKEO ya Senate kumuondoa ofisini. Kwa sasa Rigathi Gachagua ni raia tu kama Eric Omondi.
Pia soma...
Utafiti mpya wa TIFA umeonesha hali halisi ya maisha magumu ambayo Wakenya wengi wanapitia tangu Rais Ruto aingie madarakani miaka miwili na nusu iliyopita.
Asilimia 75% ya waliohojiwa wamesema...
Wakuu,
Wakati Tanzania, Rais anasema matukio ya utekaji ni "Vijidrama" na Spika wa Bunge anajitokeza anasema kuwa "hakuna ushahidi" wa watu kutekwa na kupotezwa, huko Kenya wenzetu mambo ni...
Yo, for real—I ain't feelin’ what went down with those Kenyan activists. That move? Straight up foul. See, Kenya don’t play like that. That’s a country where folks speak their truth, stand ten...
TV 47 iliripoti kuwa Padre Allois wa Jimbo Katoliki la Eldoret alivamiwa na kuuawa na watu wasiojulikana siku ya Alhamisi, Mei 22, akiwa katika shughuli zake za kichungaji katika eneo la Tot...
Mei 2025
Rais wa Kenya William Ruto ni mtu mwenye majina mengi ya utani.
Naibu Yesu, El Chapo, Hustler na Muuza Kuku ni baadhi tu ambayo amepata katika miaka ya hivi majuzi.
Kama ilivyo ada...
Kundi moja la wanaharakati jijini Nairobi wamemkaribisha kishujaa mwanaharakati Boniface Mwangi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Wilson akitokea Ukunda, baada ya kurejeshwa Kenya kwa...
Gachagua amesema hatua hiyo ni Usaliti kwa Jamii yao hivyo kuwataka watu kutosikiliza Nyimbo zao, kuwa "unfollow" kwenye Mitandao ya Kijamii na kutowaalika kutumbuiza katika matamasha na vilabu...
Taharuki imetanda miongoni mwa waumini wa Kanisa la Anglikana (ACK) St. Matthew’s Mutithi lililopo Kirinyaga nchini Kenya, baada ya watu wasiojulikana kuvunja na kuiba mali ya kanisa, huku...
Nipo mjini huko youtube, wanaharakati wachache waliokamatwa huku kwetu wamezua balaa na umoja wa ajabu kukemea tukio hilo, huwa tunasega IME - BACKFIRE.
Kweli ile nchi kuiongoza ni ngumu, Kuna...
Jengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44.
Jengo lenyewe...
Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu.
Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua...
Poleni sana majirani, ila hii Corona imewaonyesha uwezo wenu na udhahifu wenu kama nchi katika kukabiliana na majanga, sasa ninadhani kwa wakenya wengi wanajua kwamba kwa kipindi kirefu walikua...
"Kwa Roho ya Afrika Mashariki, Tusaidieni Kuadhibu Wanaharakati Wasiotii," Seneta Cherargei Aisifu Tanzania kwa Kushughulikia Wanaharakati wa Kenya
======================
In the spirit of East...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.