Mungu wa mbinguni ni mwema wakati wote Kwani anatuletea mifano ya wazi ya kule kunakopigiwa kama mfano bora wa Katiba mpya na Chadema
Pamoja na Katiba mpya lakini Rais wao anasema enough is...
Nchini kenya kumekuwa na maandamano ya kila mara yaliyoibuka kuanzia Rais William Ruto alivyoingia madarakani na yamekuwa yakishinikiza mambo mbalimbali yanayofanywa na Ruto na tukumbuke kuwa Ruto...
Kuna watu wachache wanapuyunga mtandaoni wakiitukana Kenya iliyo na katiba mpya huku wakisema bora wangebaki na katiba yao ya zamani tu .
Hawa ni watu wajinga wasioifahamu vizuri Kenya ya Jomo...
Mahakama Kuu Kenya wameamuru watoto waliozaliwa nje ya ndoa wapate mirathi na imezua gumzo katika Muslim Community Kenya.
Lakini sasa mtoto bastard kwa tafsiri ya kawaida ni mtoto aliyezaliwa nje...
Hali imezidi kuwa mbaya huko Kenya katika maandamano yanaendelea lakini pia wanaibuka wahuni na kufanya mambo yao ya hovyo sana sasa hizi ni Kelele za Umma Baada ya Wahuni Kuvamia Hospitali ya...
Makamu wa Rais Mstaafu Rigathi Gachagua ametoa tuhuma nzito dhidi ya Rais William Ruto, akidai kuwa anaendesha mpango wa kutesa jamii ya Mlima Kenya kwa makusudi. Akizungumza tarehe 5 Juni 2025...
Wanaume takriban 20 wenye silaha walivamia makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu nchini Kenya siku ya Jumapili wakati taasisi hiyo ikiwa inajiandaa kufanya mkutano na waandishi wa habari...
Wakati Watanzania wakiadhimisha siku ya Sabasaba ikiwa ni maadhimisho ya kimataifa ya Biashara, kwa Wakenya siku hiyo inakumbukwa kuwa ni ya kiharakati, ikienda hadi miaka 1990 ambapo baadhi ya...
Boda Boda amegongwa na gari ya msafara wa rais huko Kenya na walikufa papo hapo na gari ikaingia huko kwenye maporomoko
Magari hayo yalikuwa yakimsindikiza Rais William Ruto na Gavana Cecily...
Barabara zote kuu zinazoelekea jijini Nairobi zimefungwa leo huku hali ya usalama ikimarishwa katika maeneo mbalimbali ya mji, kufuatia maandamano yanayotarajiwa katika maadhimisho ya kumbukumbu...
Watu wasiopungua watano wameuawa katika maandamano ya Saba Saba ya leo huku makabiliano kati ya polisi wa kupambana na vurugu na waandamanaji yakizidi kushika kasi.
Katika eneo la Kangemi, raia...
Hilo ndilo kosa kubwa linalofanywa na uongozi wa Kenya siasa kwenye vyombo vyao vya habari ni Kwa 95%,vipindi vya kimaendeleo Kwa Kenya vinapatiwa 5% only,Tujifunze Kwa majirani, hakika mungu...
Hali ilivyo Kenya inasikitisha sana, ustaarabu hawana, utu hawana na wala sio waungwana.
Mshana Jr alinusurika kuliwa na wala nyama za watu akiwa Uganda.
Moses Kuria ajiuzulu nafasi ya Mshauri Mwandamizi wa Masuala ya Kiuchumi wa Rais William Ruto, asema anakwenda kufuatilia masuala yake binafsi.
==================
Moses Kuria resigns as President...
Waziri mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga amekemea mauaji yanayofanywa na Polisi na kusema ni aibu kwa taifa lao.
Raila amesema Kenya ililibadili Jeshi la Polisi na kuwa Huduma ili kuliondoa...
Rais wa Kenya, William Ruto, ameendelea kusisitiza nia yake ya kujenga kanisa la kisasa ndani ya Ikulu (State House), akipinga vikali kauli za baadhi ya watu wanaodai kuwa mradi huo utagharimu...
Wakuu,
Yaani Kenya kila mtu mbabe. Inaonekana kwenye haya maandamano kuna vijana wamevurugwa to the point wanachoma mali za Serikali.
Hii ni video inayoonesha vijana ambao The Citizen imewaita...