Kama ambavyo tunafahamu, China nan chi za Afrika zimekuwa na ushirikiano na uhusiano unaogusa pande nyingi, ikiwemo elimu, kilimo, sayansi na teknolojia, biashara na uchumi, pamoja na masuala ya...
Mwanaharakati wa Kenya Bob Njagi amefichua kwamba kukamatwa kwake hivi karibuni nchini Uganda, pamoja na mwanaharakati mwenzake Nicholas Oyoo, kulipangwa kwa makusudi. Amesema walikamatwa muda...
Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kuepuka kuvuka mipaka ya nchi kwa ajili ya kutafuta haki au kushiriki katika siasa za mataifa jirani, akionya kuwa uhuru...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Kenya (KCAA) imethibitisha kuwa ndege ndogo iliyokuwa ikisafiri kutoka Diani kwenda Kichwa Tembo imeanguka katika Kaunti ya Kwale.
Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa...
Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Kenya (KCCB) limeitaka serikali kufanya mapitio ya haraka ya marekebisho mapya ya Sheria ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta na Uhalifu wa Mtandaoni pamoja na Sheria...
Iko Nairobi yapata km 10 kutoka CBD ya Nairobi;-
Kibera inajulikana kwa umaarufu wake kama moja ya mitaa ya mabanda mikubwa na maskini zaidi duniani. Hakuna idadi kamili ya watu wanaoishi...
Takribani watu 17 wamepoteza maisha wakiwa gerezani kati ya mwaka 2024 na 2025, kwa mujibu wa ripoti ya Independent Medico-Legal Unit (IMLU)IMLU shirika lisilo la kiserikali nchini Kenya...
Serikali ya Kenya imetoa wito kwa serikali ya Uganda kufanya uchunguzi huru kwa raia wawili wa Kenya waliotekwa na kupitea nchini Uganda ambao hadi sasa hawajulikani walipo. Bob Njagi na Nicholaus...
Ubalozi wa Kenya jijini Dar es Salaam umeihakikishia raia wa Kenya wanaoishi nchini Tanzania kuhusu usalama wao, kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu
Kupitia taarifa iliyotolewa...
Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amemwandikia Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri na Waziri wa Mambo ya Nje na Masuala ya Diaspora, Musalia Mudavadi, akitaka hatua za haraka kuchukuliwa...
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), Faith Odhiambo, amewakaribisha wanaharakati Nicholas Oyoo na Bob Njagi, ambao walipatikana usiku wa Alhamisi katika mpaka wa Busia baada ya kutoweka...
The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets and activists to tarnish Tanzania’s image failed
Either...
Familia moja katika mtaa wa Huruma jijini Nairobi imejikuta katika majonzi makubwa kufuatia kuuawa kwa ndugu yao, John Okoth Ogutu, raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 33, aliyeuawa wakati wa...
Afisa mmoja wa Kikosi cha GSU aliyeambatana na msafara wa ulinzi wa Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa, amethibitisha kupoteza bastola yake wakati wa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Raila...
Waziri Mkuu wa zamani, marehemu Raila Odinga, ametunukiwa Nishani ya Juu Zaidi ya Heshima Nchini Kenya — Chief of the Order of the Golden Heart (C.G.H), heshima ambayo ni ya juu kuliko zote nchini...
John Chebochok, afisa wa mashamba ya chai ambaye alihusishwa pakubwa katika makala ya BBC iliyoangazia unyanyasaji wa kingono katika mashamba ya chai eneo la Kericho, anaripotiwa kujiandaa...