Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Hatimaye imewadia Jumatano iliyosubiriwa kwa hamu tarehe 25 Juni 2025, ambapo Gen Z wa Kenya wanatarajiwa kufanya maandamano, Swali niJe, waandamanaji watakuwa salama dhidi ya polisi? HALI...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Aliyekuwa Gavana wa Nairobi na Mfanyabiashara maarufu Nchini Kenya, Mike Sonko, amerejea tena kwenye ulingo wa siasa baada ya kusajili rasmi chama chake kipya, National Economic Development Party...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Marekani imetangaza kuwa itachangia zaidi ya dola bilioni 1.6 katika kuboresha mfumo wa afya wa Kenya kupitia makubaliano mapya ya utekelezaji wa miaka mitano yaliyosainiwa siku ya Alhamisi. Hii...
2 Reactions
11 Replies
409 Views
https://www.tiktok.com/@nickibigfish/video/7581171984571108664?is_from_webapp=1&sender_device=pc
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Mnakumbuka kwenye maandamano ya Gen Z Kenya mwaka jana, Serikali ya Ruto ilikuwa inazuia vyombo vya habari live maandamano yaliyokuwa yanaendelea? Sasa leo Mahakama Kuu ya Kenya imetoa agizo la...
3 Reactions
3 Replies
326 Views
Kenya and Uganda will jointly own shares in the Kenya Pipeline Company once the privatisation process is completed, President William Ruto has announced. Speaking on Sunday during an investment...
2 Reactions
11 Replies
773 Views
Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT), William Kabogo, amesema hakuna taarifa zozote za serikali zilizopotea au kuibwa na wadukuzi baada ya tovuti kadhaa za serikali kuvamiwa mapema...
1 Reactions
3 Replies
253 Views
Tovuti za Wizara muhimu za Serikali nchini Kenya zimeathiriwa na shambulio la mtandao leo asubuhi Kwa mujibu wa taarifa za Vyombo mbalimbali vya Habari Nchini humo, watu wengi walikosa huduma...
1 Reactions
2 Replies
426 Views
Marekani imesaini mkataba wa msaada wa afya wa dola bilioni 2.5 na Kenya, ambao ni mkataba wa kwanza wa aina hiyo wa pande mbili baada ya Rais Donald Trump kulivunja shirika la misaada la Marekani...
4 Reactions
34 Replies
726 Views
Almost half of Kenya’s population lives in extreme poverty – on less than Ksh.130 per day – a new Oxfam Kenya report reveals. The report also shows that Kenya’s richest 125 people own more wealth...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Tanzanian security is very complex. Ignorant fools might think that what happened was a surprise. No, it was planned for many years with the aim of destroying Tanzania. National Security was...
1 Reactions
12 Replies
799 Views
Nov 24, 2025 Kenya imekuwa miongoni mwa walioathirika zaidi, huku thamani ya kandarasi za Marekani zilizofutwa hadi sasa ikizidi takribani Shilingi (za Kenya) bilioni 108. ======== Kenya has...
1 Reactions
1 Replies
519 Views
Katika hali iso ya kawaida kuna movement ilioanza toka mwaka 2011 ya mombasa kujitenga na kenya kua nchi inaojitegemea, baadhi ya watu hawafurahii kuwepo kwa nchi moja ambayo Mombasa ipo ndan yake...
0 Reactions
8 Replies
521 Views
Inspekta mkuu wa polisi nchini Kenya, Douglas Kanja amethibitisha kuwa mwanablogu, Albert Ojwang alizuiliwa rasmi katika Kituo Kikuu cha Polisi chini ya OB nambari 136/7/6/2025. Kanja alisema...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Tanzania is advancing its ambitious vision to become East and Central Africa’s premier logistics and trade hub. At the heart of this strategy is the massive integration of 11 key ports—on the...
4 Reactions
7 Replies
980 Views
Waziri wa Mambo ya Nje Kenya, Musalia Mudavadi, ameweka wazi kuwa bado kuna Wakenya wawili wanaoshikiliwa na mamlaka za Tanzania kufuatia machafuko yaliyozuka wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Nairobi yatajwa kuwa jiji la tatu lenye hewa chafu zaidi barani Afrika
1 Reactions
10 Replies
886 Views
Na Dr. Maureen Olesumba Laizer Mtafiti wa masuala ya Uchumi na Biashara 2021 Hawkins Circle LOS ANGELES, CA 90001-2257 USA Nimemsikia Rais wa Kenya bwana Ruto akiongelea uchaguzi wa Tanzania...
3 Reactions
23 Replies
877 Views
Ruto anasema kimbelembele chao kilimpeleka mambele kuingia deal na Microsoft na G42 ili waanzishe Data Centers Kenya, lakini wakaambiwa kuwa data center moja inahitaji MW 1,000, wakati nchi nzima...
1 Reactions
20 Replies
814 Views
Kwa miaka mingi, bidhaa muhimu zaidi ya Kenya iliyokuwa ikiuzwa nje ya nchi ilikuwa kahawa. Leo, ni wafanyakazi. Fedha zinazotumwa nyumbani na Wakenya wanaofanya kazi nje ya nchi sasa zinachangia...
1 Reactions
5 Replies
269 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…