Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

07 DECEMBER 2019 6 MIN READ SHAME OF NATION'S CAPITAL Once nicknamed Green City in the Sun, it is fast turning into one huge slum In Summary Nairobi is crippled by bad leadership resulting in...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeisikiliza hotuba ya Profesa Kabudi wa kutokea Tanzania, kwa kweli ametiririka maneno yenye hekima na kutuasa Wakenya tuwe kimoja, pia akamsifia sana Rais wetu Uhuru kwa kukubali kujishusha na...
27 Reactions
68 Replies
6K Views
Wakuu, Wiki iliyopita serikali ya Tanzania ilitumia hela ndefu kuweka ndege mafuta kumtuma Profesa Kabudi Nairobi pamoja na wasaidizi wake kuja kuwashauri namna ya kufanya siasa safi na endelevu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kenya’s ultra-high-net-worth individuals with political connections control more than 50 per cent of Kenya’s wealth. This was reflected when treasury offered a tax amnesty to have wealth stashed...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Leo Kilimanjaro stars wamepokea kichapo cha Wakenya kwenye mchuano wa CECAFA, juzi hapa wanawake wa Tanzania waligaragazwa na wanawake wa Kenya. Najiuliza hapa mchezo upi ambao Tanzania...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Hili la kuendekeza lugha za makabila katika ofisi na mikutano mbali mbali ya kisiasa, tuliwaonya sana majirani wetu kwamba ni jambo la hatari sana, hasa katika nchi ambayo imekumbwa na ukabila na...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kumekucha wakuu. Baada ya Kenyatta kumrai Rais wa Congo kwa miezi mingi tu ajiunge na SGR ya Kenya angalau ipate umuhimu, hatimaye Magufuli tena ameibuka mshindi. Tukumbuke ni Rais Kenyatta...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
American technology giant Google is among a group of global firms seeking to invest in Lake Turkana Wind Power (LTWP), Kenya’s largest private sector project that was officially commissioned in...
1 Reactions
4 Replies
969 Views
Huyu jamaa ukimuangalia usoni, anaonyesha wazi kwamba amejawa na hasira sana kiasi cha kumtusi rais hadharani, pia inaonekana ni mtu katili sana yupo tayari kufanya lolote atakaloamrishwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakenya hamueleweki ni lugha gani mnaimaster vizuri zaidi kuliko kati ya lugha zinazozungumzwa nchini mwao Kiwashili hamuwezi, labda mtambe na lugha za kikabila tu kwani hata kiingereza pia...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
7 Reactions
123 Replies
13K Views
MWILI wa mtu ambaye gari lake liliingia baharini katika kivuko cha Likoni maarufu kama ‘Likoni Ferry’ jana saa nne na dakika 20 mjini Mombasa umeopolewa. Polisi limemtaja mtu huyo kuwa ni John...
1 Reactions
4 Replies
970 Views
Hofu imetanda katika kijiji cha Bufuma huko Samia, Kaunti ya Busia baada ya Bw. Francis Wandera, 70 ambaye ni mfanyabiashara kuvamiwa na kuuawa akiwa nyumbani kwake siku ya jumapili. Mwili wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BREAKING NEWS: Jengo la ghorofa sita limeanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kunaswa chini ya kifusi cha jengo hilo. Shughuli za uokoaji...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Naona nyuzi zinafunguliwa Left Right and centre trying to deflect the obvious. Harambee Stars imeitwanga Taifa failures ya Tz katika Cecafa Senior Cup challenge kule kwa Museveni...
1 Reactions
2 Replies
825 Views
Seven police officers, a doctor and two other people have been killed in an ambush in Wajir. Authorities said four people escaped the Friday evening attack with minor injuries. Gunmen attacked a...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chuo Kikuu cha Egerton kimefungwa kwa muda usiojulikana kutokana na wanafunzi wa chuo hicho kufanya mgomo wakishinikiza kuruhusiwa kufanya mitihani yao ya muhula pasipo kukamilisha ada. Sambamba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Afisa wa polisi, Bw. Peter Karanja ahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kuwaua watu kumi kwa kuwapiga risasi. Taarifa zinabainisha kuwa Bw. Peter Karanja alifanya uhalifu huo mnamo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hata kama uhuru ni mwizi, wizi mwingine ni wakiajabu..Hivi rais anawezaje tia maji kwa maziwa eti apate profit kubwa? Huu ni ushamba wa ajabu Fake milk Fake economy ====================== KOT on...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Watoto wawili wamefariki katika matukio mawili tofauti nchini Kenya baada ya kusombwa na mafuriko katika maeneo yaliyoathiriwa na mvua. Mmoja wa wahanga hao ni pamoja na mvulana wa miaka 13...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom