Haya Sasa wale wa Who are you na wale wakutaka kuishambulia Kenya ili waweze ku access bahari ya Hindi kazi kwenu.
https://youtu.be/PyRCz88qKio?si=efd4OUPBTT9cv64d
Januari 22, 2026 Mahakama Kuu ilibatilisha uamuzi wa kuanzishwa kwa Ofisi na uteuzi wa washauri 21 wa Rais William Ruto, ikisema kuwa mchakato ulikuwa wa siri, bila kufuata Katiba.
Uamuzi huo ni...
https://www.the-star.co.ke/counties/nairobi/2021-03-28-bus-rapid-transit-project-in-kasarani-area-takes-shape/
Bus Rapid Transit project in Kasarani area takes shape
They are to operate...
Mwanasheria na mwanaharakati wa kisiasa anayezua mijadala, Miguna Miguna, ametangaza nia yake ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Tangazo lake linaongeza ushindani katika...
Mamlaka Huru ya Usimamizi wa Polisi (IPOA) imeanza uchunguzi baada ya video ya CCTV ya dakika nane, inayoonyesha polisi wakiwashambulia vijana katika ukumbi wa pool table wa Nandi Hills, kusambaa...
Katika kesi ya mauaji ya Shakahola, mmoja wa washukiwa wakuu, Enos Amanya maarufu kama Hallelujah, ameachana na kukataa na akiri hatia ya mauaji na mazishi ya zaidi ya watu 191 mbele ya Mahakama...
Baada ya kudaiwa kuwa Mgombea Urais Bobi Wine amechukuliwa na vyombo vya usalama na kupelekwa kusikojulikana hapo jana, Solomon Kampala ameandika kupitia mtandao wa X kuwa alifanikiwa kutoroka...
Katika kesi ya mauaji ya Shakahola nchini Kenya, Enos Amanya maarufu kama “Hallelujah” ameachana na kukataa na akiri hatia ya mauaji 191 mbele ya Mahakama Kuu ya Mombasa. Amanya, mmoja wa...
Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Afya imetangaza kusitisha utoaji wa vibali vya kazi kwa madaktari wa kigeni wenye vigezo sawa na madaktari wazawa ikisema vibali vitatolewa tu kwa madaktari...
Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje...
Basi imebeba abilia, lakini mtu anaamua kuifanyia fujo Basi yenye abiria. Mbaya zaidi anatoa Bastola ili ampige risasi Dereva.
Wasiojulikana wametamalaki. Trafiki hata ulipoti hawanyi chochote...
A storey building under construction collapses in Kinoo, Kiambu County, leans into an adjacent 7-storey building causing serious damages.
Residents say that the building caved in during the...
Wakili mmoja kutoka Nairobi amefungua shauri katika Mahakama Kuu akiomba kutolewa kwa amri ya kusitisha magari ya usafiri wa umma (matatu) kupiga muziki wa sauti kubwa, akisema kuwa tabia hiyo...
Serikali ya Kaunti ya Nairobi, kupitia Waraka wa Kamati ya Utendaji ya Kaunti (CEC) Na. 43 wa mwaka 2025, uliosainiwa Desemba 2025 na Mjumbe wa CEC anayesimamia Mitaa, Utawala na Rasilimali Watu...
Mahakama Kuu imeamuru kutaifishwa kwa mali zenye thamani ya shilingi milioni 76.2 zinazomilikiwa na aliyekuwa Gavana wa Kaunti ya Kiambu, Ferdinand Waititu, ikiwemo kurejeshwa kwa vipande viwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.