Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu kifo tata cha mwanablogu Albert...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Polisi wa kutuliza ghasia wasababisha kifo cha kijana mmoja aliyekuwa kwenye maandamano ya kudai haki kifo cha Ojwang na hivyo kuongeza hasira ya wananchi dhidi ya ukatili wa polisi Video...
0 Reactions
1 Replies
900 Views
An artistic impression of JW Marriott Masai Mara Lodge’s junior suite tent bedroom. PHOTO | COURTESY | MARIOTT INTERNATIONAL Global hotel chain Marriott International has signed an agreement with...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Lamu Port will on Thursday come to life as 204-metre long Mv CAP Carmel, a Denmark-based shipping line, with general cargo from Port of Dar es Salaam, docks on its way to Salalah in Oman. Mv...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa Kenya, William Ruto, amezungumza kwa msisitizo kuhusu siasa za upinzani, akisema kuwa serikali haiwezi kuachia madaraka kwa watu ambao mpango wao pekee wa kisiasa ni kauli ya “Ruto must...
0 Reactions
6 Replies
493 Views
Wakuu, Kwa niaba ya JF, nitahakikisha mnafahamu kinachojiri toka hapa Kenya ambapo uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika hapo kesho. Tayari Raila Odinga ametangaza kuwa Muungano wa NASA utakuwa...
7 Reactions
330 Replies
101K Views
Waandamanaji na vijana wenye hasira kali wamemfukuza kwenye mochwari mbunge wa Wanawake wa Kaunti ya Homa Bay, Joyce Atieno, anayejulikana kama 'Bensouda'. Bensouda alikuwa ameendaa kutazama...
0 Reactions
8 Replies
734 Views
https://www.youtube.com/watch?v=Wn-0pGD3hwg Mamia ya waandamanaji wamekusanyika katika maeneo mbalimbali ya jiji la Nairobi na miji mingine nchini Kenya wakipinga mipango ya serikali kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
780 Views
Video ya ulinzi (CCTV) iliyopatikana hivi punde imethibitisha kuwa Albert Ojwang’ alikuwa tayari amefariki wakati alipofikishwa katika Hospitali ya Mbagathi na maafisa wa polisi kutoka Kituo Kikuu...
0 Reactions
4 Replies
334 Views
Ninatolewa kafara. Sasa mimi ndiye mshukiwa mkuu wa mauaji ya Albert Ojwang, ingawa sina hatia. Maafisa wa DCI walipomleta Albert Ojwang katika Kituo Kikuu cha Polisi, alikuwa katika hali mbaya...
17 Reactions
95 Replies
3K Views
Wale wapenzi wa Katiba Mpya mnaweza kufuatilia impeachment ya Naibu Rais mh Gachagua Mtajifunza mengi mazuri na madhaifu pia Maseneta bado wamejifungia Kwenye kikao cha faragha ambacho...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Mali zenye thamani ya zaidi ya Tsh.8.5 bilioni (sawa na Ksh.428 milioni) zinazohusishwa na aliyekuwa Gavana wa Migori, Okoth Obado, na washirika wake zinatarajiwa kuuzwa kwa mnada tarehe 23 mwezi...
0 Reactions
3 Replies
406 Views
Maandamano yamezidi kushika kasi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, siku ya Alhamisi, ambapo magari yalichomwa moto na polisi walifyatua mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji waliokuwa na...
2 Reactions
13 Replies
725 Views
Mamlaka Huru ya Uangalizi wa Utendaji wa Polisi (IPOA) imetoa tahadhari kuhusu kuongezeka kwa vifo vinavyotokea wakiwa mikononi mwa polisi, ikieleza kuwa angalau watu 20 wamefariki katika kipindi...
0 Reactions
7 Replies
532 Views
Mtuhumiwa wa pili amekamatwa kuhusiana na mauaji ya kikatili ya mwalimu mwenye umri wa miaka 31, Albert Ojwang’, hatua inayozidi kuongeza uzito wa uchunguzi wa tukio hilo la kusikitisha. Vyanzo...
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Inspekta Generali kwa niaba ya Jeshi la Polisi Kenya ameomba radhi kuhusu ripoti iliyotolewa na polis kuwa Ojwang' alikufa baada ya kujigonga mwenyewe ukutani alipokuwa gerezeni Asema ripoti hiyo...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao...
2 Reactions
77 Replies
3K Views
"Wananchi hawakutuchagua ili tulalamike kama wao, tunapaswa kuona haya... Tuchukulie kwa uzito kifo cha Albert Ojwang," Seneta Cheruiyot aliwaambia maseneta ================= “The people did not...
0 Reactions
2 Replies
243 Views
Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa...
1 Reactions
2 Replies
411 Views
Back
Top Bottom