Wakenya 86 walioko nchini Myanmar wamekwama kwa zaidi ya miezi miwili wakikaa chumba kimoja, wakiiomba Serikali ya Kenya iingilie kati ili warejeshwe nyumbani.
Wanasema hali wanayoishi ni ngumu...
Katika vurugu zilizotokea Octoba 29,2025 jijini Dar es Salaam miongoni mwa watu waliouawa ni pamoja na Mwalimu John Ogutu aliyekuwa akifundisha katika shule ya Msingi Sky.
Baada ya mauaji hayo...
Utata umegubika kifo cha mwendesha bodaboda Jack Deon Maloba, mwenye umri wa miaka 23, aliyekamatwa Alhamisi jioni tarehe 11 Disemba, na kufariki akiwa katika kituo kimoja cha polisi jijini...
Licha ya umbo lake dogo, Peter Murigi mwenye umri wa miaka minane aliwavutia watazamaji huko Kiambu, katikati mwa Kenya, alipopanda jukwaani kuonesha weledi wake wa Kungfu.
Murigi alikuwa...
"Hata siamini kiasi cha pesa nilizopata kwa siku 45 tu," alisema Mahasen Mohamed, mama wa watoto watatu, katika kongamano lililofanyika hivi karibuni jijini Cairo kujadili maendeleo ya vijijini...
Jana Desemba 13,2025 Taifa la Kenya liliingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mwanasiasa mashuhuru na mfanyabiashara, Cyrus Jirongo maarufu CJ kwa ajali ya gari akiwa na miaka 64.
Jirongo...
Vuta kiti, uketi. Kisha agiza popcorn ya kutosha ukipitia mkasa huu wa ajabu.
Ndani ya siku mbili tu, tarehe 25 na 26 ya mwezi November, miili miwili ya mume na mke iliokotwa sehemu tofauti ikiwa...
Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi...
THE SECRET BEHIND KENYA’S ROLE IN FUELING UNREST IN TANZANIA UNDER THE GUISE OF FIGHTING FOR DEMOCRACY.
By Dr. Geus Mbadika Nyaisanga
Dar es Salaam, Tanzania
The General Election of the United...
Hatimaye imewadia Jumatano iliyosubiriwa kwa hamu tarehe 25 Juni 2025, ambapo Gen Z wa Kenya wanatarajiwa kufanya maandamano, Swali niJe, waandamanaji watakuwa salama dhidi ya polisi?
HALI...
Aliyekuwa Gavana wa Nairobi na Mfanyabiashara maarufu Nchini Kenya, Mike Sonko, amerejea tena kwenye ulingo wa siasa baada ya kusajili rasmi chama chake kipya, National Economic Development Party...
Marekani imetangaza kuwa itachangia zaidi ya dola bilioni 1.6 katika kuboresha mfumo wa afya wa Kenya kupitia makubaliano mapya ya utekelezaji wa miaka mitano yaliyosainiwa siku ya Alhamisi.
Hii...
Mnakumbuka kwenye maandamano ya Gen Z Kenya mwaka jana, Serikali ya Ruto ilikuwa inazuia vyombo vya habari live maandamano yaliyokuwa yanaendelea?
Sasa leo Mahakama Kuu ya Kenya imetoa agizo la...
Kenya and Uganda will jointly own shares in the Kenya Pipeline Company once the privatisation process is completed, President William Ruto has announced.
Speaking on Sunday during an investment...
Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT), William Kabogo, amesema hakuna taarifa zozote za serikali zilizopotea au kuibwa na wadukuzi baada ya tovuti kadhaa za serikali kuvamiwa mapema...
Tovuti za Wizara muhimu za Serikali nchini Kenya zimeathiriwa na shambulio la mtandao leo asubuhi
Kwa mujibu wa taarifa za Vyombo mbalimbali vya Habari Nchini humo, watu wengi walikosa huduma...
Marekani imesaini mkataba wa msaada wa afya wa dola bilioni 2.5 na Kenya, ambao ni mkataba wa kwanza wa aina hiyo wa pande mbili baada ya Rais Donald Trump kulivunja shirika la misaada la Marekani...
Almost half of Kenya’s population lives in extreme poverty – on less than Ksh.130 per day – a new Oxfam Kenya report reveals.
The report also shows that Kenya’s richest 125 people own more wealth...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.