Sijajua nini kimeibuka nyuma ya pazia, ila Rwanda ambao hatuchangii mpaka nao wameipa Tanzania jirani wao kisogo na kufuata bidhaa za Kenya, jameni tuchangamkie hii fursa kiunyang'au, ni vyema...
Dah ila Rwanda wale watu wanajituma, wana rais asiye mzembe, bado wanaongoza kwenye hili, ndio tatizo haupewi vyote aidha upewe ubongo na kunyimwa raslimali au upewe raslimali unyimwe ubongo...
Kakamega county in western Kenya has experienced immense growth since the launch of the devolved units of government. Currently it hosts the headquarters of the American multinational One Acre...
Warehouse solutions provider and operator Africa Logistic Properties (ALP) is constructing its second complex at Tilisi in Kiambu County. It will be completed in October.
Chief executive Richard...
Agano Party (AP)
Alliance for Real Change
Alliance Party of Kenya (APK)
Chama Cha Mwananchi (CCM)
Chama Cha Uzalendo (CCU)
Conservative Party (CP)
Democratic Party of Kenya (DP)
Farmers Party...
Mwanamke mmoja mkazi wa Migoro Kenya amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtoto wa miaka 14 ambaye yuko darasa la nane
Mama huyo ambaye alitaka kuolewa na kijana...
Endapo kuna kitu kimezinduliwa tz mara nyingi huenda social networks za wakenya na kuanza kudiscusa kilichoInduliwa ili kuoata attention kwa wakenya watoe feesback
Endapo kuna baya limetokea...
MY TAKE: Wakati majirani wakipigana vikumbo kuiba pesa ya Corona ya mkopo toka kwa mabeberu, watanzania wanajitolea kulitangaza Taifa lao bure. Tofauti kati ya ubepari na ujamaa.
Tragedy has struck former and late Changamwe MP Ramadhan Kajembe's family as his daughter passed on on Wednesday.
Reports say that Langoni Kajembe, who had been admitted at Pandya Hospital and...
Hii imetokana na jitihada za Kenya kutojichokea kwenye vita dhidi ya corona na imekua ikifuata miongozo na kanuni zote za kupambana na janga hili ambalo limeikumba dunia. Imetoa ushirikiano wote...
Shughuli katika hospitali za umma Nairobi, Kenya zimekwama baada ya madaktari kuanza mgomo wao. Hayo yanajiri baada ya madaktari hao kutoa ilani ya siku saba kwa kile wanachokitaja kuwa ni...
TANZANIA YA SITA(6) KWA AMANI NA UTULIVU AFRIKA KENYA YA 119
Ripoti ya Global Peace Index ya mwaka 2020 inaonesha kwamba watu milioni 971 duniani wanaishi katika maeneo ambayo yana kiwango cha...
Kenya imetoa nchi 130 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila masharti ya raia hao kukaa karantini.
Katika orodha ya nchi hizo Tanzania haimo. Hii ikiwa na maana kwamba raia wa...
Wabunge wa bunge la EAC toka kenya wameonyesha ulafi wao wa fedhaa ktk bunge la EAC wakidai walipwe daily subsistance allowance ili hali wana fanyia kazi nchini kwao ..AIBU gani hii kwa wabunge walafi
Naibu Rais William Ruto Alhamisi Agosti 20 alisema janga la coronavirus limegeuzwa kuwa sakata ya mabilioni ya pesa humu nchini. Ruto alisema baada ya janga hilo kufika nchini, liligeuzwa na kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.