Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi Kenya, Eliud Lagat, amepata pigo baada ya Jaji wa Mahakama Kuu, Chacha Mwita, kutupilia mbali pingamizi la awali alilowasilisha katika kesi...
1 Reactions
0 Replies
129 Views
Je, Umewahi kujiuliza jinsi viongozi wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) wanavyopatikana? Jaji Mkuu Martha Koome (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na wajumbe wa Jopo la Uteuzi la Tume...
0 Reactions
2 Replies
261 Views
Video inayosambaa mitandaoni imeibua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamke mjamzito akishambuliwa vikali na wanaume watatu wenye fimbo katika Nkareta, Narok Kaskazini. Taarifa zinaonyesha kuwa...
1 Reactions
4 Replies
257 Views
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) imesema inahitaji KSh bilioni 57.3 (TZS trilioni 1.09) kwa ajili ya kuendesha Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Awali, Tume iliomba KSh bilioni 61.7...
2 Reactions
3 Replies
371 Views
Polisi Nchini Kenya wameanza msako wa kuwatafuta Watuhumiwa watatu Wanaume kutoka kabila la Wamasai huko Nkareta, Kaunti ya Narok Kaskazini, kwa kosa la kumshambulia kwa fimbo Dada yao kisa...
1 Reactions
3 Replies
227 Views
Viongozi wakuu wa upinzani wameapa kusimama imara na kushikamana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, wakiahidi kusimamisha mgombea mmoja atakayekabiliana na Rais William Ruto Wakiongozwa na...
2 Reactions
4 Replies
288 Views
Kenya Power on the spot for ignoring cheaper electricity Kenya Power is on the spot for prioritising expensive thermal power over the cheaper options such as geothermal and hydro, effectively...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Vijana wamemzomea na kumfukuza Mbunge wa Maragua, Mary Wamaua, katika hafla iliyofanyika Kenol, Kaunti ya Murang’a. Vijana hao walimtuhumu mbunge huyo kwa madai ya kupanga kutwaa uwanja wa mpira...
1 Reactions
1 Replies
170 Views
Ila waKenya mnabalaa sana :D :D :D ila kwa upande mwingine ni kweli maana ni pesa za wananchi kwahiyo wanahaki ya kutembea nalo kidogo ================ Mwanaume mmoja nchini Kenya amekamatwa kwa...
2 Reactions
4 Replies
227 Views
Wanafunzi wawili wa kike kutoka Shule ya Msingi ya Kenana, eneo la Njoro Kaunti ya Nakuru, wamekosa masomo kwa wiki moja wakidai kudhalilishwa na kuadhibiwa na mwalimu wa kike kwa kosa la kutovaa...
1 Reactions
1 Replies
214 Views
Chama cha Wanasheria nchini Kenya (LSK) kimemkosoa vikali Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, kwa kutoa kauli inayopingana na uamuzi wa Mahakama Kuu uliopiga marufuku polisi kuficha...
1 Reactions
2 Replies
272 Views
Hatimaye Madaktari nchini Kenya wamepata ushindi mkubwa baada ya serikali kuwalipa malimbikizo ya mwisho ya mishahara ya mwaka 2017–2024. Hatua hii inahitimisha mzozo wa miaka saba kati ya Chama...
3 Reactions
4 Replies
474 Views
In Nairobi’s Westlands district, 24-year-old Grace Wanjiku checks her Bitcoin wallet instead of M-Pesa. A trained economist without a formal job, she survives on freelance graphic design earnings...
1 Reactions
2 Replies
467 Views
Wanachama wa Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu (UASU) wameanza mgomo wao licha ya Hazina ya Taifa kutoa KSh. 2.5 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa awamu ya pili ya mkataba wa pamoja wa...
1 Reactions
2 Replies
331 Views
Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes...
1 Reactions
2 Replies
292 Views
Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), kupitia taarifa iliyotolewa Jumapili, Septemba 14, linasema kuwa zoezi hili litalenga kuajiri Wakandarasi wa Huduma za Kawaida (GSO) – kwa kawaida na wahitimu wa...
1 Reactions
3 Replies
328 Views
Ripoti mpya ya usalama wa chakula nchini Kenya, inaonyesha kuwa karibu watu milioni mbili katika Kaunti kame nne za Kaskazini Mashariki mwa Kenya, wanakabiliwa na Uhaba mkubwa wa chakula...
2 Reactions
4 Replies
328 Views
Bilionea wa Tanzania, Rostam Aziz amepiga kizuizi cha kisheria nchini Kenya, ambapo mahakama imekataa kuondoa amri ya kufungia kiwanda chake cha gesi ya petroli iliyoyeyushwa yenye thamani ya Sh16...
4 Reactions
9 Replies
734 Views
Upinzani Umeungana umetuma orodha ya madai kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), wakidai kuwa tume hiyo imekiuka masharti ya Katiba. Kupitia barua yao, upinzani umesema kuwa kufichua taarifa...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Serikali ya Kenya, imeanzisha sheria mpya kudhibiti sekta ya boda boda kutokana na kuongezeka kwa ajali na uhalifu unaohusishwa na waendeshaji wa pikipiki, ikiwemo visa vya kuchoma magari baada ya...
2 Reactions
2 Replies
360 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…