Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Mwanaume mmoja huko Kenya aandamana kwa aina yake leo kwa kujifunga kwenye nguzo na mnyororo na kuanza kuongea kero zake. Polisi walifika eneo la tukio na kujaribu kumfungua ili wamkamte huku...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Kiongozi huyo wa Muungano wa Vyama vya Upinzani kupitia Azimio la Umoja One Kenya, amesema wamefuta mazungumzo yote na Serikali baada ya Rais William Ruto kusaini Sheria ya Fedha inayolalamikiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Muungano wa Vyama vya Upinzani wa Azimio la Umoja One Kenya, umesema uamuzi huo unatokana na maombi ya Sekta mballmbali Nchini humo zinazotaka kushiriki Maandamano hayo. Taarifa iliyotolewa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen amesema uharibifu uliotekelezwa na waandamanaji kwenye barabara maarufu ya 'Nairobi Expressway' utagharimu Serikali ya Kenya takriban milioni 700, sawa na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mtu mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi wakati wa maandamano nchini Kenya huku magari matatu ya Polisi yakichomwa motO na wananchi. Maandamanano hayo yanaongozwa na kiongozi wa upinzani...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kelele kelele "Viongozi wa chama cha ANC wametishia kwenda mahakamani wakiishutumu serikali kuwapa Dubai tenda ya usimamizi wa bandari kinyume cha sheria kwasababu wananchi hawakuhusishwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Raila Odinga Kiongozi Mkuu wa Upinzani Raila Odinga amesema kuwa anatarajia kukamatwa wakati wowote kuanzia sasa baada ya kuthibitisha kukamatwa kwa aliyekuwa Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya...
1 Reactions
9 Replies
941 Views
Odinga Kila analosema wanatii, hata aliwambia kesho msipige mswaki asee jamaa wanatii the same Makenzie aliwambia hakuna kula mpaka mfe na kweli wakatii na wakafa kweli, hahaaa nimehitimisha...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Seneta wa kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna kwenye mahojiano na televisheni ya Citizen amethibitisha maandamano sasa yatadumu kwa siku tatu mfululizo kila wiki; kuanzia Jumatatu mpaka Jumatano...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Idadi hiyo imetokana na kupatikana kwa Miili 12 katika Msitu wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi, Kenya ambako utafutaji wa Wahanga waliotakiwa na Mchungaji Mackenzie Kufunga hadi Wafe ili kukutana na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maandamano ya Jumatano yalishuhudia uharibifu mkubwa zaidi ikilinganishwa na ya hapo nyuma huku waandamanaji wakiharibu barabara maarufu ya Expressway, ambayo ilikuwa ndio mradi mkubwa zaidi na wa...
0 Reactions
3 Replies
841 Views
Muungano wa sekta binafsi nchini Kenya(KEPSA) umesema kuwa taifa linakadiria hasara ya Ksh bilioni 3 kila Upinzani unapoongoza maandamano ya kupinga Serikali. Kepsa imesema hasara hii inatokana...
0 Reactions
2 Replies
536 Views
Watu watatu wameaga dunia eneo la Mlolongo kwenye barabara ya kuelekea Mombasa kufuatia vuguvugu la maandamano linaloshuhudiwa nchini. Aidha waandamanaji wa eneo hilo leo wameharibu sehemu ya...
0 Reactions
1 Replies
492 Views
Hali ni tete katika maeneo mengi ya Kenya leo baada ya waandamanaji kuitika mwito wa Kiongozi wa Upinzani. Maafisa wa polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji huku...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Rais wa Iran Ebrahim Raisi ameahirisha ziara yake nchini; msemaji wa Ikulu Hussein Mohammed athibitisha. Kiongozi huyo alikuwa akitarajiwa kuwasili Kenya leo. --- Iranian President Ebrahim...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imefikia taarifa ya Jeshi la Polisi Kitaifa kupitia vyombo vya habari kuwa kuna makundi au watu binafsi wanaopanga kufanya maandamano, migomo au mikusanyiko ya umma katika maeneo mbalimbali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maafisa wa polisi huko kaunti ya Murang'a eneo la Kaharati wanamshikilia Mzee mmoja kwa kosa la kupaka rangi matunda ya parachichi kuwahadaa wanunuzi kwenye barabara ya Murang'a kuelekea Nairobi...
0 Reactions
2 Replies
636 Views
Maswali yameibuka kuhusu utendakazi wa maafisa wa Wizara ya mambo nje inayoongozwa na Waziri Dkt. Alfred Mutua, baada ya kutuma taarifa nyingine mpya kwa vyombo vya habari ikisema kuwa Rais wa...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Kenyans know less about Tanzania... Tanzanians watch kenyan TV news and online news..Kenyans don't do so to Tanzanians
5 Reactions
214 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…