Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,219
- 79,511
Comrade nimerudi sasa. Ngoja tuanze kuwapa kipigo hawa wakenya.Najua wameenda kuniripoti kwa moderators! Nina uhakika Tony254 kasheanda kulalamika!
Karibu nyumbani kumenoga!Comrade nimerudi sasa. Ngoja tuanze kuwapa kipigo hawa wakenya.
Vilevile project ya Bagamoyo Port na yenyewe itafufuka.
Sasa unataka tukusaidie nini!?Hehehe kweli wajinga ndio walio wao! Je mwawajua Wafaransa kweli? Mwajua electrol manipulation nini? military coups ni nini? Mwajua revolution ni nini? Mwamjua Muamar Gadaffi ? Alifanywa nini? Nani walimuua? Hivi sasa tunaelevushana,Libya iko aje? Nani waliiharibu na sababu ilikuwa ipi? Mahali kampuni za France kama vile Total Oil ziko ghasia,vurughu hushuhudiwa. Baada ya musumbiji kupata Gesi magaidi wa wale wabaya kuliko al shabaab wajulikanao kama ISIS wakapiga kambi huko kwenye mpaka wa Mozambique na Tanzania na wamekuwa wakifanya mashambulizi sawia na yale ya alshabaab kutoka Somalia kuja Kenya. JIULIZENI NANI HUWA ANAWAFADHILI HAO MAGAIDI ILI WAYUMBISHE SERIKALI NA HIVYO BASI AWEZE KUPORA MALI ASLI YA NCHI ZA KIAFRIKA.KAMA SI MUFARANSA NI NANI?
Halafu Total haohao GoK inawalamba miguu wajenge pipeline to Lamu!Sasa unataka tukusaidie nini!?
Yaani wewe mbumbumbu wa kibera slums unawajua wafaransa zaidi ya Yoweri Kaguta Museveni.
๐ ๐
Wewe ndiye mbumbumbu na ndio sababu mufaransa anaona itakuwa rahisi kuwahadaa wanadanganyika mbumbumbu na kuyapora mafuta ya museveni. Wakenya wanajulikana na wazungu kuwa ni watu werevu barani Africa hususani wakikuyu (angalia vile waliilemea Mahakama ya kikoloni ya ICC na kuitumia kama ngazi ya kumpandisha na rudisha mtu wa asili yao ikulu kinyume ya kile wazungu wanyanyasaji walivyotarajia๐๐๐),na kwamba sio rahisi kuwapumbaza na kupora raslimali kupitia kwao hivyo basi akaona ayapitishie mafuta ya Uganda Tanzania kwani sio nchi ya maana duniani na watu wa huko sio werevu (kinjeketile ngware aliwapumbaza watanzania kwamba risasi za wajeremani hazitawapenya wakifanyiwa tambiko na maji ya mtama yaliyofuata mababu zenyu walimiminiwa na kuangushwa na risasi za wajeremani kama nyani wakifukuzwa kutoka shambani๐๐๐๐๐ ,kinjeketile mwingine anaitwa pombe makufuri anawapumbaza ati corona haimo ati mtumie changaa ya Madagascar na msivae barakoa ๐๐ญ๐ญ punde si punde corona ndiyo hiyo ikamrambisha Kaburi ! ๐๐๐) ukiilinganisha na Kenya ambayo ni kituo muhimu sio Africa mashariki tu , mbali Africa na duniani mzima kwa jumla. Angalia makao makuu ya UN habitat na UNEP,angalia ubalozi mkubwa wa Marekani zaidi ya balozi zote barani Africa uko wapi kama sio Nairobi kenya. Headquarters mingi za ngos na kampuni kubwa kubwa kama Microsoft,Google etc zote ziko Nairobi .๐ค๐ค๐ค๐คSasa unataka tukusaidie nini!?
Yaani wewe mbumbumbu wa kibera slums unawajua wafaransa zaidi ya Yoweri Kaguta Museveni.
๐ ๐
Sasa tukusaidie nini sasa bwana mdogo!?Wewe ndiye mbumbumbu na ndio sababu mufaransa anaona itakuwa rahisi kuwahadaa wanadanganyika mbumbumbu na kuyapora mafuta ya museveni. Wakenya wanajulikana na wazungu kuwa ni watu werevu barani Africa hususani wakikuyu na kwamba sio rahisi kuwapumbaza na kupora raslimali kupitia kwao hivyo basi akaona ayapitishie mafuta ya Uganda Tanzania kwani sio nchi ya maana duniani na watu wa huko sio werevu (kinjeketile ngware aliwapumbaza watanzania kwamba risasi za wajeremani hazitawapenya wakifanyiwa tambiko na maji ya mtama ,kinjeketile mwingine anaitwa pombe makufuri anawapumbaza ati corona haimo ati mtumie changaa ya Madagascar na msivae barakoa ๐๐ญ๐ญ punde si punde corona ndiyo hiyo ikamrambisha Kaburi ! ๐๐๐) ukiilinganisha na Kenya ambayo ni kituo muhimu sio Africa mashariki tu , mbali Africa na duniani mzima kwa jumla. Angalia makao makuu ya UN habitat na UNEP,angalia ubalozi mkubwa wa Marekani zaidi ya balozi barani Africa uko wapi kama sio Nairobi kenya. Headquarters mingi za ngos na kampuni kubwa kubwa kama Microsoft,Google etc zote ziko Nairobi .๐ค๐ค๐ค๐ค
Baada ya kukosa umeamua kujinyea sio?Hehehe kweli wajinga ndio walio wao! Je mwawajua Wafaransa kweli? Mwajua electrol manipulation nini? military coups ni nini? Mwajua revolution ni nini? Mwamjua Muamar Gadaffi ? Alifanywa nini? Nani walimuua? Hivi sasa tunaerevushana,Libya iko aje? Nani waliiharibu na sababu ilikuwa ipi? Mahali kampuni za France kama vile Total Oil ziko ghasia,vurughu hushuhudiwa. Baada ya musumbiji kupata Gesi magaidi wale wabaya kuliko al shabaab wajulikanao kama ISIS wakapiga kambi huko kwenye mpaka wa Mozambique na Tanzania na wamekuwa wakifanya mashambulizi mozambique na Tanzania na kuuwa maelfu ya watu ,sawia na yale ya alshabaab kutoka Somalia kuja Kenya. JIULIZENI NANI HUWA ANAWAFADHILI HAO MAGAIDI ILI WAYUMBISHE SERIKALI NA HIVYO BASI AWEZE KUPORA MALI ASLI YA NCHI ZA KIAFRIKA.KAMA SI MUFARANSA NI NANI?
We don't read your rubbish.Hehehe kiherehere chenyu na Geza kimeshushwa na ukweli huo nimewatobolea! ๐๐๐๐๐๐Poleni sana! Ufaransa inaelewa vyema kwamba Kenya ndicho kituo muhimu barani Africa na kwamba wakisababisha uharibifu kama walivyofanya nchini Libya basi vita vya tatu vya dunia huenda zikachipuka kwani Kenya ni mambo yote kwa dunia nzima. Angalia ndege ya Israel ilipotekwa na wanamgambo wa kiislamu na kuamrishwa itue Uganda,Waisraeli waliomba nchi gani iwasaidie kuokoa raia wake kama si Kenya! Kenya ni nchi ya kipekee. Majamaa walidhania watatisha Kenya wakitumia magaidi ,nakwambia wamenyoroshwa na vikosi maalum vya Kenya vilivyobuniwa kupambana na kuwaangamiza wao na washirika wao.vikosi hivyo hususan RRT,ATPU na RECCE squad zimewazima magaidi na mizoga ya hao magaidi kurishwa fisi vichakani. Uliza aboud rogo ,makaburi etc waliangushwa na nani. Kenya usilete ujinga utazimwa mapema!
ANOTHER FOOLHehehe kiherehere chenyu na Geza kimeshushwa na ukweli huo nimewatobolea! Poleni sana! Ufaransa inaelewa vyema kwamba Kenya ndicho kituo muhimu barani Africa na kwamba wakisababisha uharibifu kama walivyofanya nchini Libya basi vita vya tatu vya dunia huenda zikachipuka kwani Kenya ni mambo yote kwa dunia nzima. Angalia ndege ya Israel ilipotekwa na wanamgambo wa kiislamu na kuamrishwa itue Uganda,Waisraeli waliomba nchi gani iwasaidie kuokoa raia wake kama si Kenya! Kenya ni nchi ya kipekee. Majamaa walidhania watatisha Kenya wakitumia magaidi ,nakwambia wamenyoroshwa na vikosi maalum vya Kenya vilivyobuniwa kupambana na kuwaangamiza wao na washirika wao.vikosi hivyo hususan RRT,ATPU na RECCE squad zimewazima magaidi na mizoga ya hao magaidi kurishwa fisi vichakani. Uliza aboud rogo ,makaburi etc waliangushwa na nani. Kenya usilete ujinga utazimwa mapema!
Unasema wakenya ni watu werevu kuliko wote Africa mpaka wazungu wanawaogopa lakini hapo hapo unasema kigezo cha ninyi kuwa werevu Africa na wazungu kuwaogopa ni kwa sababu mnahost UN offices, Google, US embassy, Microsoft, ngosWewe ndiye mbumbumbu na ndio sababu mufaransa anaona itakuwa rahisi kuwahadaa wanadanganyika mbumbumbu na kuyapora mafuta ya museveni. Wakenya wanajulikana na wazungu kuwa ni watu werevu barani Africa hususani wakikuyu (angalia vile waliilemea Mahakama ya kikoloni ya ICC na kuitumia kama ngazi ya kumpandisha na rudisha mtu wa asili yao ikulu kinyume ya kile wazungu wanyanyasaji walivyotarajia๐๐๐),na kwamba sio rahisi kuwapumbaza na kupora raslimali kupitia kwao hivyo basi akaona ayapitishie mafuta ya Uganda Tanzania kwani sio nchi ya maana duniani na watu wa huko sio werevu (kinjeketile ngware aliwapumbaza watanzania kwamba risasi za wajeremani hazitawapenya wakifanyiwa tambiko na maji ya mtama yaliyofuata mababu zenyu walimiminiwa na kuangushwa na risasi za wajeremani kama nyani wakifukuzwa kutoka shambani๐๐๐๐๐ ,kinjeketile mwingine anaitwa pombe makufuri anawapumbaza ati corona haimo ati mtumie changaa ya Madagascar na msivae barakoa ๐๐ญ๐ญ punde si punde corona ndiyo hiyo ikamrambisha Kaburi ! ๐๐๐) ukiilinganisha na Kenya ambayo ni kituo muhimu sio Africa mashariki tu , mbali Africa na duniani mzima kwa jumla. Angalia makao makuu ya UN habitat na UNEP,angalia ubalozi mkubwa wa Marekani zaidi ya balozi zote barani Africa uko wapi kama sio Nairobi kenya. Headquarters mingi za ngos na kampuni kubwa kubwa kama Microsoft,Google etc zote ziko Nairobi .๐ค๐ค๐ค๐ค
Hehehe kiherehere chenyu na Geza kimeshushwa na ukweli huo nimewatobolea! ๐๐๐๐๐๐Poleni sana! Ufaransa inaelewa vyema kwamba Kenya ndicho kituo muhimu barani Africa na kwamba wakisababisha uharibifu kama walivyofanya nchini Libya basi vita vya tatu vya dunia huenda zikachipuka kwani Kenya ni mambo yote kwa dunia nzima. Angalia ndege ya Israel ilipotekwa na wanamgambo wa kiislamu na kuamrishwa itue Uganda,Waisraeli waliomba nchi gani iwasaidie kuokoa raia wake kama si Kenya! Kenya ni nchi ya kipekee. Majamaa walidhania watatisha Kenya wakitumia magaidi ,nakwambia wamenyoroshwa na vikosi maalum vya Kenya vilivyobuniwa kupambana na kuwaangamiza wao na washirika wao.vikosi hivyo hususan RRT,ATPU na RECCE squad zimewazima magaidi na mizoga ya hao magaidi kurishwa fisi vichakani. Uliza aboud rogo ,makaburi etc waliangushwa na nani. Kenya usilete ujinga utazimwa mapema!