Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

RAIS SAMIA AIPONGEZA AfDB, UTEKELEZAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA NCHINI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru na kuipongeza Taasisi ya Benki ya...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
TANROADS GEITA YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI BASHUNGWA//YAKAMILISHA USANIFU BARABARA YA USHIROMBO-NYIKONGA-KATORO Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetekeleza maelekezo ya Waziri wa Ujenzi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu? Naomba wauzaji wa tiles au yeyote mwenye kujua nani ambae ana hizi tiles za aina hii anijuze. Nimeshazitumia sehemu kubwa ila zimepelea kama box3 nimerudi kwa alieniuzia...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami...
1 Reactions
0 Replies
289 Views
Nina milioni 15 CASH na kiwanja kipo kigamboni nataka kujenga naomba kujua kwa pesa hiyo naweza kukamilisha nyumba nikahamia kabisa?
11 Reactions
29 Replies
3K Views
MUWASA YAENDELEA KUSAMBAZA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI Mitambo iliyofungwa Bukanga, Musoma Mjini, kwa ajili ya kuzalisha maji kutoka Ziwa Victoria ina uwezo wa kuzalisha lita milioni 36 za maji...
1 Reactions
1 Replies
328 Views
SERIKALI KUANZA UJENZI WA SONGEA BYPASS, KUONDOA MSONGAMANO WA MALOLI SONGEA MJINI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imedhamiria kuondoa msongamano wa magari makubwa...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Habari!! Naitwa Salehe nipo Dar, ni muhitimu wa Bachelor of Engineering in Civil kutoka DIT (2024). Nina uzoefu wa zaidi ya miaka miwili kama Civil Technician (Kuanzia 2018). Pia nimefanya kazi...
1 Reactions
5 Replies
876 Views
Wajumbe  hawa jamaa mnawaonaje ukizingatia wanakimbiza maudhui zenye mrengo unaofanana.Unadhani nani anameno makali kuliko mwenzie kimaudhui?
1 Reactions
1 Replies
416 Views
Nyumba ya vyumba vinne, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public. Kwa mahitaji ya ramani yake na nyenginezo, ujenzi nk. tuwasiliane kwa namba 0719086787
0 Reactions
4 Replies
647 Views
RAIS DKT SAMIA ARIDHISHWA NA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE SONGEA Kukamilika kwa uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Songea kumefanya Mkoa wa Ruvuma kuwa kitovu muhimu cha biashara kwani idadi ya...
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Nakaribisha Developers wa Eneo la Familia lililopo Barabara ya CCM Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro.Njoo na proposal.Familia inamilki Eneo na Nia ni Kujenga Trade Centre (Tayari Jengo 1...
0 Reactions
1 Replies
321 Views
RAIS SAMIA AKAGUA UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGEA, BILIONI 40.87 ZATUMIKA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Leo Bon yai kakwama kufikishwa mahakamani kisa Jeshi la magereza halina gari ya kumfikisha mahakamani Kwa Nini zile fedha zinazotolewa kwa timu ya Simba na yanga zisitumike kununua magari kwa...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Nina swali dogo wataalamu! Kuna plot moja nilinunua miaka kadhaa iliyopita na nikabadilisha title. Ila kila mwaka nikilipia land rent jina bado linaonekana na mmiliki wa zamani, mara nyingi huwa...
0 Reactions
1 Replies
319 Views
Huu Ni utafiti mdg niloufanya ktk sekta nzima ya ujenzi wa nyumba, hasa za makazi Kuna kitu wengi hatukijui au Kama tunakijua, Basi hatujawai kukaa na kukizingatia Sana. Kiuhalisia gharama ya...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Naulizia kibali cha kujenga, ukiwa na cheti level 3 unaruhusiwa kujenga nyumba yoyote bila engineer? Kama ndiyo, nawezaje kupata kibali? Naomba msaada wakuu
0 Reactions
4 Replies
469 Views
kujenga kama haka hadi finishing kanaweza kugharimu kiasi gani? kwa bajeti ya kawaida tu?
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Vipi kuhusu mradi wa NHC wa safaricity arusha umetelekezwa? Anayejua muendelezo tafadhali atuhabarishe
1 Reactions
2 Replies
704 Views
MBUNGE MAVUNDE AZINDUA UJENZI JENGO LA MAPUMZIKO HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA DODOMA MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini, Mh. Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la wananchi...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Back
Top Bottom