Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

VITUO VYA AFYA VITANO VIPYA VYAJENGWA WILAYA YA HAI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kusogeza huduma za Afya karibu na wananchi kwa...
0 Reactions
2 Replies
332 Views
Wakuu habari zenu naomba muongozo nataka nifanye ujenzi ambao nitatia thermal insulation ili kupunguza joto la dar je vifaa hivi nitapata wapi na fundi wenye uzoefu na cavity wall
3 Reactions
17 Replies
747 Views
Wadau, mie nina kaujenzi kanakokadiria kutumia mifuko 50 Hadi 100. Kununua rejareja naona inaniumiza. Ningependa kujua je inawezekana kununua cement kwa Bei ya jumla kutoka kiwandani ili nipate...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu nataka ni jaribu jenga nyumba nitakayo TIA thermal insulation maana dar joto kali je vifaa hivyo nitapata wapi na mafundi wenye uzoefu na hii aina ya ujenzi
0 Reactions
7 Replies
445 Views
Habari wakuu, Leo tujadili, kati ya Tangastone za kisasa na marumaru za urembo unapendelea kuweka kipi katika sehemu za nje ya nyumba yako? mfano kwenye msingi, na kama unapendelea tangastone au...
2 Reactions
4 Replies
580 Views
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa Msiseme sikuwaambia Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga. Nilipata kijisenti hapa...
16 Reactions
96 Replies
6K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port...
1 Reactions
1 Replies
420 Views
USHIRIKIANO WA TANZANIA NA JAPANI KUWEZESHA UJENZI WA FLYOVER MOROCCO – DAR. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Tanzania inaendelea kuimarisha ushirikiano na Japani...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Leo, Jumanne, 1.10.2024, Mhe George Simbachawene, Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ameweka Jiwe la Msingi wa ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya...
1 Reactions
0 Replies
361 Views
Inawezekana ni kwasababu ya hali ya hewa, ghorofa za Ulaya Mara nyingi huwa hazina balcony.
11 Reactions
38 Replies
2K Views
NW KATIMBA: BILIONI 6.7 ZIMETUMIKA KUBORESHA UJENZI WA SHULE ZA SEKONDARI 10 MUHEZA (W), TANGA Takribani shilingi Bilioni 6.7 zimetumika katika ujenzi wa shule za sekondari 10 katika Wilaya ya...
0 Reactions
2 Replies
449 Views
BILIONI 1.3 KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI KIJIJI CHA KUMUBUGA, NGARA Serikali imetenga Shilingi Bilioni Moja na Milioni Miatatu (Bilioni 1.3) ili kutatua changamoto ya tatizo la Maji katika Kijiji...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
KIHENZILE SEKONDARI YA KATA YAZINDULIWA, MUFINDI - IRINGA Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amezindua Shule ya Kata ya Sekondari Kihenzile iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya...
0 Reactions
1 Replies
608 Views
Habari wana bodi! Tazama huu mchoro kisha uniambie umeona mapungufu gani na nini kipunguzwe au nini kiongezwe ili kuleta kitu kizuri zaidi. Eneo: 40m x 20m = 800sqm Ninatanguliza shukrani.
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama unahitaji kufanya finishing za mjengo wako, basi kwa upande wa rangi, hakuna rangi bora kama za Silkcoat paint. Hizi ni rangi za kituruki -Hapa nazungumzia Stone au wengi wanapenda kuziita...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari! Nina wasalimu kwa unyenyekevu mkubwa Recreational pond ni aina mpya ya bwawa yanayofanana na mabwawa ya asili ambayo yanaweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kuogelea...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari ndg zangu naomba msaada wa kupata ramani ya chumba 1 choo na sehemu ya jikoni tafadhali
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Ningependa kushiriki nanyi mambo machache kuhusu ujenzi kwa wale wanaoendelea na ujenzi, au wanaotarajia kufanya hivyo siku chache zijazo. 1. YAPASWAYO KUFANYIKA KABLA YA KUANZA...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
RAIS SAMIA AIPONGEZA AfDB, UTEKELEZAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA NCHINI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru na kuipongeza Taasisi ya Benki ya...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Back
Top Bottom