Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Ni mshahara nilikuwa najenga ili nisiwe "homeless" lakini naishia kuwa "homeless" bonge la movie Ni mshahara nilikuwa matadors kazi ili nisiwe "unemployed " lakini naishia kuwa "Unemployed "...
1 Reactions
9 Replies
176 Views
Habari wakuu hatimaje nimedundukkza million mbili, naomba nijue gharama ya kibali cha ujenzi na process zake
8 Reactions
85 Replies
15K Views
Haya Wataalamu wa Ujenzi njooni upesi sana mtoe Mawazo yenu ya Kiutaalamu na ya Kiujenzi ili tuelimike pakubwa.
6 Reactions
53 Replies
1K Views
Wakuu, Nilipita Mbopo Madale nilioni kuna eneo linauzwa Milioni 30 ni Square Metre 600 lakini kwa kweli value for money naona haliendani na hilo eneo Kwanza mpaka ufike kwenye hilo eneo kuna...
5 Reactions
4 Replies
314 Views
guest-1789818704
WANA-JF HABARI ZA WAKATI HUU. Nauza PAGALE lililopo Kimanzichana kwa Gongo, Mkuranga โ€“ Pwani, nyuma ya mnada. ๐Ÿ  Limefikia kozi ya 11, lina: โ€ข Vyumba 5 โ€” 4 Master โ€ข Sitting room kubwa, dining...
0 Reactions
6 Replies
373 Views
Rasmi Mahakamani ndiyo sehemu inayotishia zaidi hapa Tanzania๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
4 Reactions
12 Replies
276 Views
๐Ÿ” SMART EYE SECURITY SERVICES ๐Ÿ“น Usiache usalama wa nyumba, biashara au ofisi yako kwa bahati. Tunakufungia CCTV Camera kwa usalama na ufuatiliaji wa uhakika. ๐Ÿ‘๏ธ๐Ÿ“น ๐Ÿ  Nyumbani ๐Ÿช Madukani &...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
MNARA WA TANK LA MAJI โ€” SEHEMU YA 1/6 UNATAKA KUJENGA MNARA WA TANK LA MAJI? USIANZE NA NGUZO! Watu wengi wanaanza kwa kuuliza: โŒ โ€œNguzo ziwe na ukubwa gani?โ€ โŒ โ€œNiweke nondo mm ngapi?โ€ โŒ...
2 Reactions
24 Replies
554 Views
Wana jamvini hapa ndio mlipo wataalamu wa Ujenzi, Mimi nina nyumba zangu tano nimezijenga wakati tofauti tofauti, ila kuna suala moja linanitatiza sana, matank yote ya maji niliyonunua takribani...
2 Reactions
3 Replies
194 Views
Mafundi wa ujenzi, kazi ni upigaji wa plaster siku ya kesho tarehe 07/09/2026 wanahitajika wa kutosha kama unaweza ama unamfahamu mdau anayeweza kufanya hili jambo mjuze aweze kusogea karibu...
5 Reactions
16 Replies
274 Views
Anonymous
Katika Mtaa wa Masaki, Kata ya Toangoma, Temeke โ€“ Dar es Salaam, kunaendelea zoezi la urasimishaji wa ardhi kwa viwanja ambavyo havijapimwa (Unsurveyed Plots). Zoezi hili ni muhimu kwa wananchi...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
  • Featured
Je, wahitaji ushauri kuhusu ujenzi? Hapa ndipo mahala pake. Piga au wasap. 0756244608 Uliza kuhusu ujenzi wa boma (walling) Uliza kuhusu kupaua Uliza kuhusu kupiga plaster Uliza kuhusu plumbing...
14 Reactions
399 Replies
23K Views
๐Ÿ  MDau ameuliza: โ€œNianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?โ€ Jibu langu kama mtaalamu wa ujenzi ni hili ๐Ÿ‘‡ Kama tayari una ramani na maono ya nyumba...
1 Reactions
0 Replies
334 Views
Mbinu mojawapo kubwa ya kupunguza ghalama za ujenzi wakubwa Heshima kwenu leo nakusogezea hii huwa haisemwi Mbinu kubwa ya kupunguza gharama ya ujenzi: Tumia Interlocking Stabilized Soil Blocks...
5 Reactions
5 Replies
922 Views
Anonymous
Tuulizie kwenye mamlaka zinazohusika, kwa nini kadiri viwanda vinavyozidi kuongezeka, hasa vya vifaa vya ujenzi, gharama za bidhaa zinazidi kupanda? Viwanda vya saruji kwa sasa vimeongezeka...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Tumekuwa taifa la wachuuzi na watu waliokosa ubunifu Tunaona nyumba nyingi zinazojengwa pembezoni mwa barabara zikibuniwa na fremu za maduka, hata kama wenye nyumba hawana mpango wa kufanya...
8 Reactions
57 Replies
888 Views
Kama title isemavyo, nahitaji kupata fundi kujenga anifundishe kujenga, nitafanya kazi kama saidia huku akinipa ujuzi, mkoa wowote ule nitafika. Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Tangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini? At...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Hivi ni kwanini ile spidi ya kuanzia msingi hadi kwenye lenta inakuwaga ya kasi sana but kuanzia hapo hadi kumalizia wengi hurudi nyuma, nini shida? Hata ukipita mitaani nyumba nyingi ambazo...
19 Reactions
98 Replies
6K Views
Wilaya ya Handeni mkoani Tanga umeme unakata sana na ni kila siku bila kupewa taarifa , kila siku kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa 1 jioni Kwa mji wa kabuku na maeneo mengi ya wilaya ya Handeni...
0 Reactions
3 Replies
129 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ