Pedeshee212
Member
- Apr 2, 2024
- 72
- 57
MACDEGAMO ENTERPRISES ni kampuni iliyo sajiliwa na ya kitaalamu inayotoa huduma za matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, upandaji na utunzaji wa bustani (Gardening and landscaping), painting, skimming pamoja na house molding. Tunajikita katika kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu kwa kutumia wataalamu wenye ujuzi, kwa lengo la kuhakikisha majengo na mazingira ya wateja wetu yanakuwa safi, salama, ya kuvutia na yenye thamani zaidi. Kaulimbiu yetu ni: "Tunajenga ubora, tunatunza mazingira yako."
Tupigie kwa namba : 0714693107
Tupigie kwa namba : 0714693107