Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Kazi yangu kukufungua fikra sehem ambazo huwa zinachukua ghalama kubwa kwenye ujenzi wa gholofa 1. Msingi Imara Zaidi: - Ghorofa huhitaji msingi wenye nguvu zaidi (deep foundation) ili...
1 Reactions
5 Replies
714 Views
Juzikati tulipata reference ya fundi mmoja tukamtafuta baada ya kupata mawasiliano yake akaja hadi saiti tukamwonesha kazi. Akacheki kazi anayotakiwa kuifanya akatoa mahesabu ya vifaa vyote...
2 Reactions
13 Replies
744 Views
Hizi ndio sababu kwanini watu wengi wanaogopa kujenga gorofa Watu wengi wanaogopa ujenzi wa gorofa kwa sababu ya hofu ya gharama kubwa na kutokuwa na uhakika wa ubora wa ujenzi. Wengine wanangoja...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
For more knowledge about construction you can visit www.limbunation.co.tz
0 Reactions
3 Replies
275 Views
ULEGA AWATAKA WAKANDARASI DODOMA RING ROAD KUONGEZA KASI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua na kuridhishwa na utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya jiji la Dodoma (km...
1 Reactions
2 Replies
359 Views
Landscape design ina umuhimu mkubwa sana kwenye nyumba, na hapa ni sababu kuu chache: 1. Urembo (Aesthetics): Inafanya mazingira ya nyumba yaonekane maridadi na ya kuvutia. 2. Thamani ya Mali...
1 Reactions
2 Replies
550 Views
TANROADS, TAA SHIRIKIANENI MIRADI YA KIMKAKATI IKAMILIKE KWA WAKATI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameziagiza Taasisi ya Wakala wa Barabara (TANROADS) na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA)...
0 Reactions
1 Replies
326 Views
BARABARA ZENYE VIWANGO KUPANDISHWA HADHI KWENDA TANROADS" OR-TAMISEMI Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema TARURA kwa kushirikiana na Bodi ya Barabara ya Mkoa...
0 Reactions
1 Replies
240 Views
Naomba muelekezo wa fundi nyumba ili nimalizie nyumba. Finishing, umeme, maki, rangi, tiles nk
0 Reactions
4 Replies
452 Views
MBUNGE TAUHIDA GALLOS NA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKATIBU UWT MKOA WA MAGHARIBI NA WILAYA ZAKE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Wakuu Habari, naomba kwa mwenye ujuzi anisaidie, nyumba yangu wakati naanza ujenzi sikuwa na ufahamu wa badhi ya vitu hivyo sikuweka DPM au DPC kwaajili ya kuzuia unyevu usipande kwenye kuta...
1 Reactions
11 Replies
985 Views
Hapa kuna baadhi ya faida: 1. Urembo wa Kipekee: Grafiti design inaweza kuleta urembo wa kipekee na wa kisasa kwenye nyumba. Inatoa nafasi ya kuonyesha ubunifu na mtindo wa kibinafsi. 2...
2 Reactions
2 Replies
399 Views
CERAMIC TILE FAHAMU MACHACHE KUHUSU CERAMIC TILE Na Ochoa Home Decor NI ZIPI CERAMIC TILE? Ceramic tile ni zile tiles zote zinazonyonya maji kuanzia asilimia 6.9 na kuendelea (6.9%...) Hizi...
1 Reactions
2 Replies
872 Views
Waweza nicheki kupitia Whatsap number 0679169532
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Nyie matajiri zangu bado mnataka kuendelea kulipa KODI? Una miaka 35 bado umepanga huna hata ramani ya nyumba ndani? Suluhisho nimelipata sasa nipo kwa ajiri yako wewe mwenye uhitaji wa haraka...
2 Reactions
3 Replies
796 Views
We are delighted to introduce you to our exceptional sail shades that will transform your outdoor space into a serene oasis. CALL US FOR THE EXCELLENT SAIL SHADES EITHER BE CLOTHES OR...
0 Reactions
1 Replies
336 Views
SERIKALI YAUNGA MKONO JUHUDI ZA WANAKIJIJI ZA KUJENGA SEKONDARI YA KUMBUKUMBU YA PROF DAVID MASSAMBA Hayati Prof David Massamba, Gwiji la Lugha ya Kiswahili kitaifa na kimataifa, ameenziwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Karibu sana wateja wetu, sisi tunafanya kazi za ujenzi, finishing za makazi, Pamoja na UTENGENEZAJI wa Garden za KISASA. Gharama zetu ni sawa na bure, usikubali kuambiwa Bali chukua hatua ukitaka...
2 Reactions
4 Replies
512 Views
Back
Top Bottom