Karibu ofisini kwetu ujipatie Accessories na Aluminium Kwa bei ya kiwandani.
Bei zetu ni rafiki sana , Kwa DSM ukinunua mzigo utapata free delivery na Kwa mikoani ukinunua mzigo tutaupeleka hadi...
Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌
Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka).
Pia, inachukua nafasi...
ILA WABONGO.... — mtu akitajiwa gharama halisi ya ujenzi, anaanza kulalamika:
"Hiyo bei kubwa sana bana!",
Lakini ukiwaambia awaonyeshe nyumba alizojenga kwa hiyo bei ndogo anayosema — hana na...
Goba kulangwa plots for sale
Viwanja hivo vipo karibu na deez pub upande wa kulia unapoenda madale
ni mita 500 kutoka barabara ya madale vipo karibu na shule ya herman boys
Kila kiwanja...
Mradi Mpya wa Viwanja - Kibaha Sofu!
Viwanja vya bei nafuu vilivyo kwenye eneo zuri na tambarare kabisa, tayari kwa ujenzi!
Mahali: Kibaha Sofu – km 4 tu kutoka kituo cha Picha ya Ndege
📏...
🔥 “SHOCKING: He Built a House for His Parents… and Himself — Under One Roof, But On Different Floors! 😂🏡”
This client lives abroad and had ONE request:
👉 “Make my parents comfortable downstairs…...
Wanabodi kama mada inavosema,nimepitia maoni mengi kuhusu uezekaji na gauge pendekezwa ni 28,lkn binafsi nataka kutumia gauge 26,naombeni ushauri wenu wa kitaalamu nipate elimu na kufanya maamuzi
Habari zenu wakuu,
Kuna changamoto imekuwa inajitokeza nyumbani naomba mawazo yenu! Home kuna tank la litre 5000 ila limekuwa likiisha maji hata kama maji hayajatumiwa! Unakuta tank tunajaza...
Habari za majukum wanajamvi.
Ninahitaji huduma ya kupimiwa eneo langu ili ni process kupata hati ya kiwanja. Eneo lipo kibaha mkoa wa pwani. Any leads nitashukuru sana
ULEGA NA SENYAMULE WAKAGUA MAANDALIZI YA ZIARA YA RAIS MKOANI DODOMA
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule leo Juni 13, 2025 wamekagua maandalizi ya...
Build Your Dream Home with a Reliable Partner!
Looking for a trustworthy construction company to bring your vision to life?
Mkuzibuilders is here for you — reliable, professional, and committed to...
Heri ya mwezi mpya,
Sisi ni wataalamu wa mbao za aina mbalimbali zinazozalishwa nchini Tanzania. Tupo Dar es Salaam. Tunao ujuzi na uzoefu wa miaka mingi.
Kama inavyofahamika, shughuli za ujenzi...
Habari wakuu
Imekua ni ndoto yangu ya muda mrefu kuishi maisha ya asili na kuzungukwa na mazingira ya misitu ,mimea pamoja na wanyama (wafugwao)
Hauwezi kuizuia nafsi kitu ikipendacho bwana...
Nakaribia hatua ya uezekaji, ila uwezo wa kununua ALAF naona sina, kuna mabat mengi yanatangazwa kama Dragon, Taishan, sunbank, Kinglion, Mabati Bomba, Kiboko etc..ni Kampuni gani angalau ina bati...
🏗️ Mkuzibuilders – Your Trusted Building Partner!
We specialize in building design, construction, renovation, and consultation services. Whether you're starting from scratch or upgrading your...
Habari Wana JF,
Ninaomba ushauri wenu katika hili, nataka kujenga lodge yenye vyumba sita vyote self, iwe na kitchen ndogo reception na laundry room.
Kwa mahesabu ya haraka haraka unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.