Raman ya vyumba 3 vya kulala
Ina vitu vifuatavyo
Chumba 1 master
Chumba 1 hakina choo
Chumba 1 hakina choo
Seble
Dinning
Jiko
Store
Public toilet
Inachukua mita 13 kwa mita 12
Sasa njoo whatsapp...
Hio bajeti ya Hizo bati zilizo kimbia juu kama mt. Kilimanjaro si ndio ungetengeneza ka-study room kakiaina kenye mini -library mshenzi.
Ila nitaishia kuambiwa: " TAFUTA HELA WEWE MATEMBELE...
Mwenye namba ya dalali wa vyumba /nyumba au anakijua chumba kinachopangishwa;
i. kisiwe mbali na ofisi za Ruwasa za wilaya ya Siha, mkoa wa Kilimanjaro.
ii. Kiwe self contained
habari mtaalam wa kupau na mtaalam wa kuchomelea unaitajika uwe na ofisi bunju au tegeta uwe na kazi ambazo uliishawai kufanya naitaji fundi maiko sio kampuni na pia usiwe dalali uwe fundi...
Watu wengi wamejikuta katika hali ngumu ya kifedha au hata kukwama katika ujenzi kutokana na kushindwa kuweka mikakati mizuri ya kupunguza gharama za ujenzi.
Kwa kutambua umuhimu wa ujezi, na kwa...
Habari Wana JamiiForums,.
Nimewaza juu ya kuwa na thread maalum kuhusiana na vifaa ama material bora vya ujenzi, mahali pa kuvipata, tahadhari n.k
Pia tuweze kushirikishana changamoto mbalimbali...
Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu!
Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa...
Kama unataka ngazi za kisasa zinazojulikana kama floating stairs nichek
Sikuhizi ushindwe wewe tu mafundi Tz wapo 0743 257 669
Ufundi 600,000 kwa nyumba za makazi material utanunua mwenyewe 0743...
Umuhimu wa kuwa na ramani ya nyumba ni mkubwa sana kabla ya kuanza ujenzi. Hapa ni sababu kuu:
1. Mwongozo wa Ujenzi: Ramani inaelekeza kila hatua ya ujenzi, kuanzia msingi hadi paa.
2. Kuzuia...
Naomba mnijuze wanajf na wataalamu wa ujenzi!Mimi kwenye eneo hili sielewi chochote hasa ni kwa kuwa wengine tulizaliwa enzi zile za kutumia silingi bodi!Ninaomna mnielimishe boards nzuri kwa...
Kazi yangu kukufungua fikra sehem ambazo huwa zinachukua ghalama kubwa kwenye ujenzi wa gholofa
1. Msingi Imara Zaidi:
- Ghorofa huhitaji msingi wenye nguvu zaidi (deep foundation) ili...
Juzikati tulipata reference ya fundi mmoja tukamtafuta baada ya kupata mawasiliano yake akaja hadi saiti tukamwonesha kazi. Akacheki kazi anayotakiwa kuifanya akatoa mahesabu ya vifaa vyote...
Hizi ndio sababu kwanini watu wengi wanaogopa kujenga gorofa
Watu wengi wanaogopa ujenzi wa gorofa kwa sababu ya hofu ya gharama kubwa na kutokuwa na uhakika wa ubora wa ujenzi. Wengine wanangoja...
ULEGA AWATAKA WAKANDARASI DODOMA RING ROAD KUONGEZA KASI
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua na kuridhishwa na utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya jiji la Dodoma (km...
Landscape design ina umuhimu mkubwa sana kwenye nyumba, na hapa ni sababu kuu chache:
1. Urembo (Aesthetics): Inafanya mazingira ya nyumba yaonekane maridadi na ya kuvutia.
2. Thamani ya Mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.