Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Tokea nijhamie huku sijutii Hali ya hewa nzuri Sana kumetulia kibada Hadi mjimwema
16 Reactions
53 Replies
7K Views
Kuna siku ndugu yangu anayeishi uingereza aliniambia, inashangaza sana kwa nchi kama Tanzania ambapo mchanga unapatikana kila mahali halafu bado kuna watu hawachangamki kujenga na kumiliki nyumba...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu. ✅ Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu ✅ Ujenzi imara...
1 Reactions
0 Replies
214 Views
Urgent wakuu!, plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo. IPO 2km from main road, Kiluvya Madukani maeneo ya kwa mhindi-tondoroni. Ni nzuri sana! Njoo inbox kwa details zaidi. Mil. 8...
0 Reactions
4 Replies
282 Views
Katika mitaa ya Dar es Salaam kulikuwa na jina lililotajwa sana na kusikika masikioni mwa watu, sana sana ukanda wa Tabata — Black Cobra. Jambazi aliyekuwa anaogopwa. Aliingia kimya, akatoweka...
2 Reactions
1 Replies
202 Views
Kiukweli licha ya kuwa kuna makazi mengi duni Tanzania lakini sikuhizi watu wanajenga nyumba standard na nyumba nzuri Kwenye miji yetu yenye mazingira ya uswazi utagundua kuwa uswazi huo...
5 Reactions
18 Replies
608 Views
1 master bedroom 1 self room 1 single room Sitting room Kitchen Store Public toilet, 3 verandah (entrance). BAJETI yetu ilikua ni 11.2M, Hadi tunamaliza kazi tumetumia 11.4M. GHARAMA...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa? Utangulizi Kwa kipindi cha hivi karibuni, teknolojia ya Epoxy Floor imekuwa ikizungumzwa sana kwenye sekta ya ujenzi...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Habari wakuu, nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master) Sebule, Jiko, Na choo Cha public. Ni ramani simple lakini ya Kisasa. Ramani hii itachukua Tofali 1,600 Saruji 30...
15 Reactions
103 Replies
4K Views
2 Reactions
14 Replies
349 Views
  • Redirect
Luxe Light Craft Wauzaji wa taa za kisasa, zenye muonekano wa kipekee tipo kwaajili yako. Whatsapp +255764379293
0 Reactions
– Replies
– Views
Je, Unahitaji Taa Za kisasa kwaajiki ya Finishing ya Nyumba yako? Luxe Light Craft, tumekuja kwaajili yako. Karibu ujipatie taa bora na za kisasa kutoka kwetu. Tunazo Taa Aina zote! Tunapatikana...
1 Reactions
8 Replies
475 Views
Poleni na starehe vijana. Kupanga ni kuchagua, sasa utaamua ununua IST huku unaishi kwa baba mwenye nyumba au kujenga kama haka huku unarudi kulala pazuri ukiwa kwenye daladala au bodaboda. Mjumbe...
8 Reactions
32 Replies
746 Views
Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara, Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo...
3 Reactions
23 Replies
703 Views
Nimekuwa mhanga kwenye hayo mazingira, baada ya kufanya 'wiring' na umeme kuungwa kwenye jengo, ili ujenzi wa kumalizia (finishing) uende vizuri; wakatokea wahuni wakakata nondo za dirisha na...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Basi WhatsApp/call number hii hapa 0652494919 simu ziite. Tunafeli wapi ndugu zanguni?
2 Reactions
3 Replies
181 Views
CHECK OUT THIS SIMPLE AND COMPACT SEBULE KUBWA NZURI ,DINNING ,OPEN KITCHEN ,1SELF BEDROOM,1SINGLE BEDROOM ,AND MASTER BEDROOM WITH CLOSET ,PUBLIC TOILET CALL US +255624004650
1 Reactions
17 Replies
556 Views
Habari ya muda huu ndugu mwanajamii, Naomba kueleweshwa na anaejua taratibu za kupata hati ya kudumu ya kiwanja alichonunua mzazi akaandika jina langu. Kiwanja kilinunuliwa nikiwa na miaka minne...
2 Reactions
2 Replies
243 Views
Habarini za asubui Wana JF, Kutokana na ukuaji wa teknolojia katika suala zima la makazi , nimeona katika nchi nyingi uwepo wa park homes au Prefabricated homes (detached bungalows) nikimaanisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…