Chokaa na gypsum powder ipi bora?

Administer

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
699
1,000
Naomba uzoefu wenu juu ya vitu hivyo viwili, katika kuskimu ukuta nini kitumike kati ya hivyo viwili ili kuleta uimara katika kupaka rangi.
 

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
11,194
2,000
Kama pesa ipo, piga white cement kote nje na ndani, kwa hizo ukizoweka hapo..Gypsum powder ni bora.
 

alubati

JF-Expert Member
May 29, 2016
3,278
2,000
Chokaa ni kwa ajili ya kupaka nilu sio ku fanya skimming, gypsum powder ni bora. wengine wanapaka nilu kea chokaa kisha wana skim kwa gypsum powder, ukifanya hivyo gharama inapungua, na unapata matokeo mazuri zaidi.
 

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,279
2,000
Ogopa sana Chokaaa, ipo siku ukuta utapukutika kama nguo iliyomwagiwa maji ya betri ndio utalia na kusaga meno.

Yaaaani mpaka leo fundi wangu namuona kama shetani kutokana na hii dhambi ya kunipeleka Pugu Road kule Mtava kununua michokaa kuuuumbe ndio naenda kuleta kichinjio cha Banda langu. Asalaleeeee.
 

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
1,579
2,000
Ogopa sana Chokaaa, ipo siku ukuta utapukutika kama nguo iliyomwagiwa maji ya betri ndio utalia na kusaga meno.
Yaaaani mpaka leo fundi wangu namuona kama shetani kutokana na hii dhambi ya kunipeleka Pugu Road kule Mtava kununua michokaa kuuuumbe ndio naenda kuleta kichinjio cha Banda langu. Asalaleeeee
Pole sana kiongozi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom