Msaada: Naomba kupewa gharama za hatua hizi za ujenzi

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
24,565
47,017
Habari za kwenu wanajamvi,

Nakuja hapa nikiomba ushauri/msaada wa dhati kabisa juu ya ujenzi nina 15million ya kumalizia vitu vichache je itatosha? Na kwa sasa najua wengi wenu humu mna uzoefu na mafundi mpo humu, kwa mtu anaejua naomba kujuzwa nyumba yangu ina ukubwa wa 14.6*12.3 Squaremita na vyumba vinne, sasa nipo kwenye hatua ya finishing, naomba msaada wa kujua nyumba ya namna hii yenye vyumba vinne je gharama zikoje katika hatua hizi hapo chini;

Blundering
Kupiga plasta
Kufanya plumbing
Kuweka tiles
Wiringi
Kupiga rangi
Madirisha ya aluminium

Naomba usaidizi gharama za mafundi na materials zikoje?
 
Habari za kwenu wanajamvi,
Nakuja hapa nikiomba ushauri/msaada wa dhati kabisa juu ya ujenzi nini 15 million ya kumalizia vitu vichache jw itatosha na kwa sasa najua wengi wenu humu mna uzoefu na mafundi mpo humu, kwa mtu anaejua naomba kujuzwa nyumba yangu ina ukubwa wa 14.6*12.3 Squaremita na vyumba vinne, sasa nipo kwenye hatua ya finishing naomba msaada wa kujua nyumba ya namna hii yenye vyumba vinne je gharama zikoje katika hatua hizi hapo chini

Blundering
Kupiga plasta
Kufanya plumbing
Kuweka tiles
Wiringi
Kupiga rangi
Madirisha ya aluminium

Naomba usaidizi gharama za mafundi na materials zikoje?
Mimi ni qs kiukweli kwa hapo ntashindwa kukupa ghalama halisi kama cna vipimo vya hyo nyumba...
 
Mimi ni qs kiukweli kwa hapo ntashindwa kukupa ghalama halisi kama cna vipimo vya hyo nyumba...
Fanya makadirio tu eneo zima la nyumba ni 14.6*12.3 Squaremita vyumba vinne......labda ngoja nikupe hivi vipimo labda vinaweza saidia

Sitiing room ina 4*5
Master room 3.9*4.2
Bed rooms 3.1*3.1
Public toilet 2.3*3.1
Dinning room 4.2*3.0
 
Mate..
mbona katoa vipimoo 14m x 12m
Yah naona alitaka kujua labda na ukubwa wa rooms, karibu pia kwa ushauri hiyo 15M itanisogeza au nipe makadirio yako maana kila mtu na uwelewa wake, hasa gharama za mafundi mngenisaidia ingekuwa poa halafu material nafanya quotations sehemu mbalimbali
 
Haitaweza kufanya hayo yote mkuu.

Ila naomba niwe nje ya mada yako nikushauri uanze na:
1. kufanya hiyo pulambaringi
2. wayaringi
3.plasta
4. Bulandaringi
5.Rangi
6. Madirisha ya aluminiamu
7. Vigae ndio kazi ya mwisho kabisa. na wanafanya hivyo ili kuepuka kudondokewa na rangi au hata nyundo au chochote wakati kazi zingine zinaendelea.

Hiyo 15m fanya kwa kufuata huyo mtiririko mpaka itakapoishia
 
Dirisha moja la aluminium 150cm*150cm bei huwa 230,000-250,000. Likizidi ukubwa huo mnaelewana na fundi. Kwa madirisha yako 11 andaa angalau 3m
Okey mbaba so hapo 230k ya size 5*5 ni pamoja na grill na aluminium plus
 
Weka floor, Fanya blumbing, milango na madirisha ikiwezekana hamia. Mengine utamaliza taratibu.
Yah sky hapa nataka niweke vipaumbele maana kupaua tayari 80% of construction it has been done, nasubiri hiyo finishing na naweka vipaumbele ili niweze hamia mara moja so nina hiyo amount, tatizo mafundi wanapiga sana nataka kujua pia bei halisi za mafundi ili niepushe matumizi yasio muhimu
 
15m unahamia bila wasiwasi.
 
Haitaweza kufanya hayo yote mkuu.

Ila naomba niwe nje ya mada yako nikushauri uanze na:
1. kufanya hiyo pulambaringi
2. wayaringi
3.plasta
4. Bulandaringi
5.Rangi
6. Madirisha ya aluminiamu
7. Vigae ndio kazi ya mwisho kabisa. na wanafanya hivyo ili kuepuka kudondokewa na rangi au hata nyundo au chochote wakati kazi zingine zinaendelea.

Hiyo 15m fanya kwa kufuata huyo mtiririko mpaka itakapoishia
Haupo nje ya mada mamitoo, mbona mchango wako mzuri na paa tayari nilishaweka, nimebaki na hela ya finishing phase na ndiyo mziki, sasa hapa ni vipaumbele ndiyo nataka kuviweka sasa nataka kujua gharama za mafundi na hata materials
 
Pia katika hii mada nimesahau kuuliza hivi vitu hapa..... Je

=Marumaru gani ni bora/brand na bei elekezi°°°
=Vifaa vya wiring ni brand gani nzuri je vipi tronic?
=Vifaa vya mabomba na sink brand gani nzuri na bei zake
Karibuni kuchangia na hili swala
 
Back
Top Bottom