Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Kama tunavyojua, mwaka una majira tofauti, na hivyo iwe kiangazi, kipupwe, vuli au masika, watu huwa tunaendelea kuchapa kazi ili mkono ufike kinywani. Sasa swali langu ni kama hivyo...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habar ya wakat huu ndugu wadau wa JF na jukwaa la ujenzi. Nipo kwnye mchakato wa kujenga nyumba/ viappartments vya kupangisha hvyo nimeonelea nije hapa jukwaani kwa kuwa naamini kuna fursa ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ninaomba ushauri. Nimechunguza nyumba zetu nyingi zina shida sana ya harufu toka msalani mtu akipiga tukio kubwa. Bora huko vyumbani mtapambana na hali zenu, hiki cha wote jirani na sebule ni...
10 Reactions
84 Replies
13K Views
Waungwana naombeni mnisaidie, je ni ipi njia bora ya kuanza ujenzi wa nyumba endapo tayari una kiwanja kati ya hzi zifuatazo: 1. Kumtafta surveyor wa ku survey eneo la kiwanja na ku design...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakulungwa habari ya leo Baada ya kunyaka 4M juzi kati, Leo nikaamua nijisalimishe ofisi ya serikali ya mtaa kujua taratibu za ujenzi. Nilichoambiwa ni kuwa, kabla ya ujenzi natakiwa kuwasilisha...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello wakuu mambo vip. Tafadhali wale wazoefu, naomba kujua makadirio ya haraka haraka kwa msingi tuu, wa ramani hii maana pesa ni za kudunduliza. Makadirio ya tofali Makadirio ya mifuko ya...
3 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari ya wakati huu mdau wa JF?? *Sasa namiliki nyumba ya kisasa ndogo iliyonigharimu muda mrefu sana kufikia hatua hii ilipo na nimehamia nimeacha kuumia kila mara kwa kulipa kodi ktk nyumba ya...
12 Reactions
8 Replies
2K Views
wenzetu wanazidi kupiga hatua kwa teknolojia ambazo kwa sasa zina kuja kasi. Teknolojia ya 3d print imeanza miaka michache iliyopita. ilianza na kuprint vitu vya plastic na fibre baadae ikaja...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari kwa wote. Ni imani yangu JF ni sehemu halisi kwa kila aina maswali yanayosumbua katika jamii. Leo naomba tupeane mbinu za kudhibiti wizi hasa wa mafundi tunaowakabidhi dhamana ya...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Habarini ..... Natafuta wale watu wa makampuni ya ujenzi wanijengee nyumba yenye sifa zifuatavyo kwa budget ya Tsh 7M. Chumba na choo chake (Master) Sebule (Living room) Public toilet...
3 Reactions
39 Replies
8K Views
Hello Fam Natafuta kiwanja Songea, kwa Makazi tu. Kisiwe nje ya mjini sana
1 Reactions
4 Replies
982 Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano. Kuna jamaa nilikuwa namdai kanilipa 4m juzi, Sasa nafikiria kujenga nyumba ya biashara (chumba na choo chake) vyumba 3 pamoja na fremu 2 kwenye eneo...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Board wanazoweka kwenye magorofa juu zile za drafit huwa zinaitwaje wakuu msaada.
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Wadau Habari za asubuhi? Nikiwa site nilitembelewa na sales team wa haya mabati ya Sun Bank. Wakajinadi sana wakidai bati zao ni bora sana mithili ya ALAF Wakasema izo bati ni popular Arusha ...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Wengi tunapenda kujenga nyumba kubwa ikiwa na vyumba vingi mara maktaba, vyumba vya wageni n.k lakini kiuhalisia ni vyumba vichache vinavyotumika, utakuta labda nyumba ina vyumba vitano, na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Unapojenga nyumba unakuwa na kusudio la ujenzi huo. Hii inakusaidia kupata ramani na budget ya jengo. Wengi wetu baada ya kujenga nyumba ya kukupatia vijusent kwakua nyumba ni asset inayodumu...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari, fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika; madirisha yako 25, kazi ni kutengeneza na kupachika ndani ya siku saba. Malipo baada ya kupachika. Bajeti yangu kwa kila dirisha ni sh...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habarini, Nina kiproject kidogo cha kujenga nyumba ya kujihifadhi familia ikiwa na kitu cha kufanyika mkoani Dar Es Salaam. Ni vyumba viwili upande wa kiume na upande wa kike tu, upande wa kike...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu. Naombeni kujua MCHANGANUO WA GHARAMA za ujenzi wa nyumba ya chumba kimoja master na sebule kiwanja tayari Ninacho tofali Ninazotarajia kitumia Ni za cement...
3 Reactions
29 Replies
16K Views
Habari zenu wanajamvi! Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nimehamia kwenye nyumba yangu maeneo ya Chanika. Sijapiga tiles bado chini nina rough floor (nilikimbia changamoto ya kodi nyumba za watu...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom