Habar wakuu.....
Ninaomba ndugu zangu mafundi wa ujenzi wa nyumba muniseidie tathmini kidogo ya vitu ili niweze kujenga msingi wa nyumba yangu
Targets ni vyumba 3 kimoja masters , viwili kawaida...
Habar wakuu..
Kama kichwa cha habari hapo juu
Nina ka eneo changu kigamboni chenye ukubwa wa urefu mita 14.3, upana mita 9.75 ninataka nijenge vyumba vitatu ,kimoja master , sebule, kijiko ...
Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom.
Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika...
Our client Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) which is an autonomous, not for profit, non-political national NGO providing Sexual and Reproductive Health (SRH) information, education...
Habari zenu.
Naomba msaada wa mtu/mahali pa kukata kioo kuwa round (clean cut) na kutoboa kioo /vioo vya aina mbali mbali vishimo vya vipimo (3mm-60mm) tofauti kwa ubora wa hali ya juu.
pia...
Uvimo Maktaba
Maktaba yetu leo hii itaangazia Mlinganyo wa gredi ya saruji, aina ya mchanga na aina za maji kwa ajili ya plasta na vigae.
Uvimo tumeendelea kutoa elimu na kujadilisha mada...
Nahitaji kujua tathmini ya kuuza nyumba hii. Ina vyumba 2 na sebule pamoja na jiko, master bedroom ni self, chini Kuna tiles na juu Kuna gypsum board pia imepigwa rangi za kisasa ndani na nje na...
Wakuu habari
Wapi nitapata mabati ya bei rahisi yale ya migongo mipana kwa mkoa wa Dar es Salaam.
Bei hizo tofauti tofauti ni kiasi gani kwa kila gauge
Habari wana JF natumaini mwaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa
Kwa wenye idea au uzoefu kuhusu ujenzi wa chumba kimoja master ningeomba msaada wa price estimation ya ujenzi wa idea hii
Credit...
Uvunaji wa maji ya mvua husaidia sana kuondoa shida ya maji. Kwa paa kama hili ni rahisi kukusanya maji na kuyahifadhi katika kisima ulicho kiandaa.
Wakati wa ujenzi unapanga sehemu ya vyoo na...
Hbr membr of flow.
Sasa nimeamua kujipang kuezeka kikabwela natak kutumia bati za kawaida (sio wakina alafi wala sunShare)
Wajenz / wataalamu na wazoefu naomben ushauri katk swala la mabati kuna...
Ndugu nina wazo la kujenga ila kuweka pesa yoote kwa pamoja siwez kwa maana pesa yangu muda wote inazunguka
Likanijia wazo la kuwa nnanunua vitu vya ujenzi kama cement na vinginevyo kidogo kidogo...
Kuna nyumba ya hayati mmoja nilifika nikakuta kaweka Marble floor tiles za kijani zimependeza sana huko mkoa wa Geita nilipojaribu kuuliza mhusika akaniambia zimenunuliwa mbeya kuna mgodi wa...
Habari..! Naomba kujifunza taratibu za uzabuni.
Kwa mujibu sheria za manuzuzi katika miradi ya serikali mfano vifaa vya ujenzi kutoka kwa wazabuni kwa mfumo wa force account.
Malipo ya nauli ya...
Kama tunavyojua, mwaka una majira tofauti, na hivyo iwe kiangazi, kipupwe, vuli au masika, watu huwa tunaendelea kuchapa kazi ili mkono ufike kinywani.
Sasa swali langu ni kama hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.