Natafuta mtu wa kunijengea chumba na sebule kwa 7M.

Man Mvua

JF-Expert Member
Apr 12, 2016
1,727
2,000
Habarini .....

Natafuta wale watu wa makampuni ya ujenzi wanijengee nyumba yenye sifa zifuatavyo kwa budget ya Tsh 7M.

Chumba na choo chake (Master)

Sebule (Living room)

Public toilet

Kitchen( jiko)

Eneo ni Bagamoyo kata ya Zinga jirani sana na barabara ya bagamoyo.

Atalipwa nusu baada ya kumaliza kazi atamaliziwa nusu.

Karibuni sana.

NB: nataka kuoa sasa maisha ya kulipa kodi wallah sitoyaweza kabisa.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,107
2,000
mimi ningekufanyia kwa milioni 9.

ingekuwa hatuchimbi na kujenga shimo la choo, jiko hatujengi, na choo kimoja tu cha master. hiyo hela ingetosha ...

hapo nimefanya assumptions kiwanja chako kimenyooka sio cha mtelemko.... na
Una maana 9m ni kila kitu na gharama zako za ufundi? Yaani material na labour. Chumba ensuite, choo kingine,sebule,jiko?
 
Man Mvua

JF-Expert Member
Apr 12, 2016
1,727
2,000
mimi ningekufanyia kwa milioni 9.

ingekuwa hatuchimbi na kujenga shimo la choo, jiko hatujengi, na choo kimoja tu cha master. hiyo hela ingetosha ...

hapo nimefanya assumptions kiwanja chako kimenyooka sio cha mtelemko.... na
Kimenyooka sio mteremko pia kipo karibu na barabara
 
Perth

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
2,911
2,000
Hatari ila utakwamwa juu na milango itabidi uongeze 1ml tofauti na hapo uwe bahili aswa katika kufanya manunuzi na ulie lie sana upunguziwe bei ya matirio
 
Philipo D. Ruzige

Verified Member
Sep 25, 2015
6,928
2,000
Kama hutojali nitafute nikushauri kitu 0745090905
Habarini .....

Natafuta wale watu wa makampuni ya ujenzi wanijengee nyumba yenye sifa zifuatavyo kwa budget ya Tsh 7M.

Chumba na choo chake (Master)

Sebule (Living room)

Public toilet

Kitchen( jiko)

Eneo ni Bagamoyo kata ya Zinga jirani sana na barabara ya bagamoyo.

Atalipwa nusu baada ya kumaliza kazi atamaliziwa nusu.

Karibuni sana.

NB: nataka kuoa sasa maisha ya kulipa kodi wallah sitoyaweza kabisa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom