Kipengele katika hatua ya upauaji

TZ-1

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
3,202
5,429
Habari wanajamvi, nashukuru Mungu nimeweza kufika hatua ya linta katika Ujenzi wa Nyumba yangu ya makazi.

Ila leo nimejarbu kuanza kushusha hesabu ya UPAUAJI gharama zmekuwa kubwa sana

Bati za GEJi 30 ni tshs 37500- 38000.

Hizo ni bei za bati za kampun kubwa hapa mjini.

Naona gharama kwangu zmekuw kubwa hadi nimeghari kupau mwaka huu naomben ushauri either utaonisaidia kupunguz gharama.

Mbao hesabu yake m2.7.pamoja na bandaring

Bati PC 120 , Tshs m4.3+.

Hapo bado misumari na malipo ya fundi.
 
Wananchi wamechangiaji swala la Bei kuwa juu hivyoo mkuu?
Nikiwa Kama contractor niliyeshindikana nasemaje, watanzania kwa ujinga wetu ndio tumefanya kampuni ya ALAF kuongeza Bei ya bati kila kukicha.
Na yatafika Hadi laki kwa ujinga wetu
 
Toa njia mbadala, badala nawewe kulalamika. Bari zipi nzuri tupate ushuuhda.
 
Habari wanajamvi, nashukuru mungu nimeweza kufika hatua ya linta katika Ujenzi wa Nyumba yangu ya makazi.

Ila leo nimejarbu kuanza kushusha hesabu ya UPAUAJI gharama zmekuw kubwa sana

Bati za GEJi 30 ni tshs 37500- 38000.

Hizo ni bei za bati za kampun kubwa hapa mjini.

Naona gharama kwangu zmekuw kubwa hadi nimeghari kupau mwaka huu naomben ushauri either utaonisaidia kupunguz gharama.

Mbao hesabu yake m2.7.pamoja na bandaring

Bati PC 120 , Tshs m4.3+.

Hapo bado misumari na malipo ya fundi.
Zipo njia za kufanya kupata bei nafuu.

Namba uwasiliane na Uvimo Group wataalam wa ujenzi na kupaua tubadilishane uzoefu

Namba za ofisi ni
0753927572 wasap
0629361896 kupiga

Tazama kazi ya wiki hii.
 
Ndugu hupatkn ?

piga bati ya kuficha gonga slope inamwaga nyuma.tia marenmmbo rembo ishu imekata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo njia za kufanya kupata bei nafuu.

Namba uwasiliane na Uvimo Group wataalam wa ujenzi na kupaua tubadilishane uzoefu

Namba za ofisi ni
0753927572 wasap
0629361896 kupiga

Tazama kazi ya wiki hii.
Ndugu si kila kitu ni biashara. Ungenipa makisio kwa wastan tu ingekaa vizur. Kma una mawazo saidia hapa wengine watafaidika
 
Nikiwa Kama contractor niliyeshindikana nasemaje, watanzania kwa ujinga wetu ndio tumefanya kampuni ya ALAF kuongeza Bei ya bati kila kukicha.
Na yatafika Hadi laki kwa ujinga wetu

Usiniweke kwenye huo unaouita ujinga wenu.
 
Habari wanajamvi, nashukuru mungu nimeweza kufika hatua ya linta katika Ujenzi wa Nyumba yangu ya makazi.

Ila leo nimejarbu kuanza kushusha hesabu ya UPAUAJI gharama zmekuw kubwa sana

Bati za GEJi 30 ni tshs 37500- 38000.

Hizo ni bei za bati za kampun kubwa hapa mjini.

Naona gharama kwangu zmekuw kubwa hadi nimeghari kupau mwaka huu naomben ushauri either utaonisaidia kupunguz gharama.

Mbao hesabu yake m2.7.pamoja na bandaring

Bati PC 120 , Tshs m4.3+.

Hapo bado misumari na malipo ya fundi.
Wewe unahitaji bati ngapi? Geji 30. Bei ni 30 kwa bati la upana 75cm urefu futi 10. Kama unataka lenye mikunjo ya kigae ndio inakuwa 37k upana 80cm
 
Nikiwa Kama contractor niliyeshindikana nasemaje, watanzania kwa ujinga wetu ndio tumefanya kampuni ya ALAF kuongeza Bei ya bati kila kukicha.
Na yatafika Hadi laki kwa ujinga wetu
Nini tatizo hadi ALAF wapandishe bei? kimsingi Bei za Alaf ni sawa na za makampuni mengine. Watu wasio na uelewa wanadhani bei ya ALAF ni kubwa kwa sababu wanazalisha bidhaa bora. nitakupa mfano mzuri.
 
Nahitaji Bati G30 mgongo mpana ? Hiyo Bei niya kampuni gani
wewe unahitaji bati ngapi? Geji 30. Bei ni 30 kwa bati la upana 75cm urefu futi 10. Kama unataka lenye mikunjo ya kigae ndio inakuwa 37k upana 80cm
 
Habari wanajamvi, nashukuru mungu nimeweza kufika hatua ya linta katika Ujenzi wa Nyumba yangu ya makazi.

Ila leo nimejarbu kuanza kushusha hesabu ya UPAUAJI gharama zmekuw kubwa sana

Bati za GEJi 30 ni tshs 37500- 38000.

Hizo ni bei za bati za kampun kubwa hapa mjini.

Naona gharama kwangu zmekuw kubwa hadi nimeghari kupau mwaka huu naomben ushauri either utaonisaidia kupunguz gharama.

Mbao hesabu yake m2.7.pamoja na bandaring

Bati PC 120 , Tshs m4.3+.

Hapo bado misumari na malipo ya fundi.
Unavyozidi kusubiria ndivyo gharama inaongezeka,maisha yanaenda mbele sio nyuma..
 
ALAF hawapandishi bei...bei ya aluminium ipo juu dunian uko..huon hata aluminium hii ya kina emirates imepanda?..
Mleta mada..mbao za 2.7m ?
Mbao 2x4 12ft ni 5,300 treated..unataka mbao ngap?
Huwez kutaka mbao 500+ kwa bati 120
Site iko wap?
 
Kwenye ujenzi mnapenda kutishana mno.
Nakuunga mkono,
Kutishana na kurahisisha vyote vinatawala.

Hata hivyo tuwe na utaratibu wa kupata taarifa kwa lengo la kujidhibisha uelewa.

Katika GROUP la wasap la UVIMO PUBLIC CENTER, daima tunajadili yote yanayo husu ujenzi.

Njoo inbox kwa UVIMO
0753927572

Kwa huduma 0629361896

Mwishowe tuna jenga kuanzia msingi hadi kukabidhi ufunguo.
IMG_20210918_174737_5.jpg
View attachment 1955892
 
Back
Top Bottom